Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Kwanini mkuu??HUYU MAMA AKAE KIMYA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu??HUYU MAMA AKAE KIMYA
Why too serious!!!? 🤡Naona mambo mengi muhimu zaidi ya bunge kuongelea kwenye ripoti ya CAG, kuliko hii issue ndogo, au ni mimi sielewi??!
Ndicho kinachofanyikaWanawalea kwa nidhamu ili waje kuwaongoza watoto wanaokata viuno shuleni kwenye vumbi. Watoto wa darasa la nne tayari akili ipo kingonongono, Waziri akisimama kulinda maadili wanamuita mjinga.
Sawa basi,nyie endeleeni kuwasikilisha watoto miziki hyoKuna sehemu umeona nimeandika kufukuzwa kazi mkuu Au wewe ndo umekuja na perception zako kichwani..
Taarifa ni kwamba wamevuliwa vyeo wakati huo huo wamesimamishwa kupisha uchunguzi
Wanangu me wote watu wazma wana maamuzi yao wakiamua kusikiliza shaur yao watajua wao..Sawa basi,nyie endeleeni kuwasikilisha watoto miziki hyo
Sijui honey,ameyatimba,kuzaguama
Ova
Mbona hujataka wanasiasa waliochezesha hizo nyimbo mbele ya wanafunzi nao wafutwe vyeo vyao?Role ya mwalimu ni kulea pia, so jamii inategemea vitu vikubwa zaidi ya kuwachezesha watoto nyimbo za kipumbavu
Watu wanahaSira nae Tu, Hata afanye jema watu wanamuona ni munafiki,Kwani kakosea kipi mkuu 😅😅
Na aliyempamba profesa mkenda ni aliekuwa amekaa NYUMA yake....waziri wa watoto na wanawake na makundi maalumSpika yuko sahihi, na Prof. Mkenda ametoa hukumu bila kuwasikiliza hao walimu kwanza, watanzania wengi haqapendi kufuata sheria na taratibu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Na hii ndo point nayosema na kama Basata Haitawajibika Basi wizara ya Michezo iwajibikeMbona hujataka wanasiasa waliochezesha hizo nyimbo mbele ya wanafunzi nao wafutwe vyeo vyao?
Mwalimu analea kwa kutumia vigezo, kwahiyo siku nyingine CWT wapige marufuku vyakula vya watoto visivyo na ubora kwa sababu "wanalea"? Kazi ya TBS na TFDA ni nini.
Kipimo cha mziki kinatolewa na BASATA. Lini ulisikia huo wimbo umekatazwa kuchezwa under 18 au mashuleni? Kwanini BASATA wasiwajibike badala yake wawajibike walimu.
Zuchu asaliKwani walimu wamechaza wimbo gani?
Basata ina udini mwingi Sana, naifananishaga na bakwataNa hii ndo point nayosema na kama Basata Haitawajibika Basi wizara ya Michezo iwajibike
Huyu Tulia kuna Wakati hua nampenda sana anapoacha kuchanganya maslahi Binafsi na taaluma yake.Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..
"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni
hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe
View attachment 2805936
View attachment 2805928
Spika ni Jembe[emoji91][emoji91][emoji91]Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..
"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni
hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe
View attachment 2805936
View attachment 2805928
Mkuu me naonaga wako Sawa tu ni kitengo chake😅😅Basata ina udini mwingi Sana, naifananishaga na bakwata
Wakipewa ushauri na msaada wa kisheria, hilo linawezekanaNA FIDIA NONO INAWAHUSUU! 👊