ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kama Kuna irresponsible parents unataka na Shuleni iwe hivyo?Mbona hata huku mtaani walipo hao watoto hii nyimbo hupigwa ?....au maadili yanatakiwa yawepo shule tu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Kuna irresponsible parents unataka na Shuleni iwe hivyo?Mbona hata huku mtaani walipo hao watoto hii nyimbo hupigwa ?....au maadili yanatakiwa yawepo shule tu ?
Wasipousikiliza shuleni ila wakausikiliza nyumbani na kuucheza, hapo umezuia nini ?Kama Kuna irresponsible parents unataka na Shuleni iwe hivyo?
Uamuzi wa kumuondoa mwl mkuu kwenye nafasi yake ulikuwa uamuzi wa kijinga na kipumbavu. Hivi ungemuuliza huyo Mkenda, wale watoto walivyokuwa wanacheza kwa miondoko ile, walifundishwa siku hiyo? Utandawazi ndivyo ulivyo na hauna nafasi kumsubiri mpumbavu mmoja hadi akae sawa.Mwenyewe nimeshangaa alafu nyimbo inapigwa daily , waufungie mziki ndo tutawaelewa, sio kuwaadhibisha watu kwa chuki binafsi wakati ngoma inapigwa daily na watoto wakiimba na kusikiliza kwenye televisheni na maredioni.
Waalimu warudishwe kazini.
Hoja sio wimbo kuwa na maadili wewe chawa. Hoja ni walimu kufukuzwa kisa wimbo ulioruhusiwa na BASATA ambayo hua haitoi parental guide wala rating ya nyimbo.Wimbo hauna Maadili Kwa level ya Watoto sio watu wazima.
Mambo ya kampeni sijui nini hayahusiani na maeneo ya shule waliko Watoto.
Wewe kama unaona sawa weka wimbo wa honey uwe unacheza na Watoto wako ndani.
Lazima wafukuzwe,kwani wimbo huo uliruhusiwa kuimbwa shule?Hoja sio wimbo kuwa na maadili wewe chawa. Hoja ni walimu kufukuzwa kisa wimbo ulioruhusiwa na BASATA ambayo hua haitoi parental guide wala rating ya nyimbo.
Kwanini mkuu 🤔Ndo nimechekaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Comment yako hiyo.Kwanini mkuu [emoji848]
Kama jambo halina maadili ya kitanzania, ni sehemu yoyote halitakiwi, sio baadhi ya sehemu tu. Na ukiona mambo yanatokea hivi ujue waliopewa mamlaka wameshindwa kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..
"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni
hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe
View attachment 2806039
View attachment 2805928
🤣🤣🤣 Mkuu usinikumbushe bhna eti nonsense halafu proff....Tatizo siasa inanguvu sanaKama jambo halina maadili ya kitanzania, ni sehemu yoyote halitakiwi, sio baadhi ya sehemu tu. Na ukiona mambo yanatokea hivi ujue waliopewa mamlaka wameshindwa kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.
Hivi sio huyu waziri aliambiwa 'nonsense'?!!
Hahaaa, Mkuu, walokole hawa tulionao siyo. Drug trafficers wengi ndo hao watu. Ukiona watu wanaojitoa kwenye mainstream ya makanisa makubwa ya Kikristo na kuunda vijikanisa vyao wana agenda zao chafu na za siri sana.Huyo ni mcha Mungu tena m- TAG, ama mlokole hivyo suala la madawa hapo halipo, ni maombi kwa kwenda mbele.. ukiona unakerwa nae huenda una roho chafu ndani yako ama pèpo.. liambie ' pepo tokaaa'
Hopeless sana hao. Siku ya mwisho watatiwa kibiriti sanaa. Ni wanafiki sana hao unaowaita walikoleHuyo ni mcha Mungu tena m- TAG, ama mlokole hivyo suala la madawa hapo halipo, ni maombi kwa kwenda mbele.. ukiona unakerwa nae huenda una roho chafu ndani yako ama pèpo.. liambie ' pepo tokaaa'
Na leo kuna mahafali zinaendelea mashuleni ni ani ani kila konaWaache tu watoto wasikilize hii miziki ya kuhamasisha ushg na kubanduana
Tena huko mitaani unaimbwa na kuchezwa mpaka ni visichana vya kuanzia miaka mitano !!Mbona hata huku mtaani walipo hao watoto hii nyimbo hupigwa ?....au maadili yanatakiwa yawepo shule tu ?
Point muhimu sana hii. Ndiyo maana kuna umuhimu wa kuwa na "radio version" ya hizi nyimbo.Mbona hata huku mtaani walipo hao watoto hii nyimbo hupigwa ?....au maadili yanatakiwa yawepo shule tu ?
Labda amezinduka na kutubuHahaaa, Mkuu, walokole hawa tulionao siyo. Drug trafficers wengi ndo hao watu. Ukiona watu wanaojitoa kwenye mainstream ya makanisa makubwa ya Kikristo na kuunda vijikanisa vyao wana agenda zao chafu na za siri sana.
Na wengi ni wanafiki sana. Siku ya mwisho watapigwa kibiriti.
Nikupe mfano mdogo.
Enzi za Rais Dr. Magu, huyu spika alimpongeza sana kwenye ule utumbuaji usio na haki,bila taratibu za kiutumishi, na mifano ipo. Na kama Spika alikuwa na nafasi ya angalau kuhoji kupitia mhimili wa bunge, hakufanya hivyo. Hata suala la vyeti feki hakuhoji chochote hadi Mungu alipoamua akaja Mama yetu Samia akawafariji. Na Mama aliona haikuwa haki mtu kufanya kazi over 30 yrs leo unamwambia hana cheti na hana chake.
Tuna wezi wa fedha za Umma,kama Spika alikuwa na uwezo wa kusimamia mhimili wake tukaona mabadiliko,sasa siyo mkweli,anaona ni sawa. Na cha ajabu, suala hili la Zuchu kalivalia njuga kana kwamba ndiyo la msingi kuliko hata yale mengine. Eti Waziri katumia kanuni gani kuwasimamisha kazi waalimu wale. Nimwulize Magufuli na washamba wake walitumia kanuni gani kunyima watu mafao yao kwenye yeti feki?
Unafiki kama huo, ni aina ya Uchawi ambao uko kwa viongozi wengi na hasa wanaojiita walokole. Hopeless
Maneno yote Tangu mwanzoNi maneno gani katika huo wimbo yanayoleta shida, kwa mfano?
Unaweza kuyaweka hapa?Maneno yote Tangu mwanzo
Ngoja niitafute maana mimi huwa sina hayo manyimbo ya watotoUnaweza kuyaweka hapa?