Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

Kama Kuna irresponsible parents unataka na Shuleni iwe hivyo?
Wasipousikiliza shuleni ila wakausikiliza nyumbani na kuucheza, hapo umezuia nini ?

Nyie Ccm mna matatizo sana, hao wasanii kutwa wanawakatia viuno kwenye majukwaa yenu ya kampeni (watoto wakiwepo) ila huwa maadili hamyaoni.
 
Waziri mwenye dhamana awaombe radhi walimu na alipie fidia ya usumbufu na taharuki alioizua kwa walimu hao na jamii kwa ujumla pia amuombe radhi zuchu kwa kuchafua brand yake
 
Mwenyewe nimeshangaa alafu nyimbo inapigwa daily , waufungie mziki ndo tutawaelewa, sio kuwaadhibisha watu kwa chuki binafsi wakati ngoma inapigwa daily na watoto wakiimba na kusikiliza kwenye televisheni na maredioni.

Waalimu warudishwe kazini.
Uamuzi wa kumuondoa mwl mkuu kwenye nafasi yake ulikuwa uamuzi wa kijinga na kipumbavu. Hivi ungemuuliza huyo Mkenda, wale watoto walivyokuwa wanacheza kwa miondoko ile, walifundishwa siku hiyo? Utandawazi ndivyo ulivyo na hauna nafasi kumsubiri mpumbavu mmoja hadi akae sawa.

Mwl arudishwe kwenye nafasi yake.
 
Wimbo hauna Maadili Kwa level ya Watoto sio watu wazima.

Mambo ya kampeni sijui nini hayahusiani na maeneo ya shule waliko Watoto.

Wewe kama unaona sawa weka wimbo wa honey uwe unacheza na Watoto wako ndani.
Hoja sio wimbo kuwa na maadili wewe chawa. Hoja ni walimu kufukuzwa kisa wimbo ulioruhusiwa na BASATA ambayo hua haitoi parental guide wala rating ya nyimbo.
 
Hoja sio wimbo kuwa na maadili wewe chawa. Hoja ni walimu kufukuzwa kisa wimbo ulioruhusiwa na BASATA ambayo hua haitoi parental guide wala rating ya nyimbo.
Lazima wafukuzwe,kwani wimbo huo uliruhusiwa kuimbwa shule?

Kwani Watoto Huwa wanaruhusiwa maeneo ya starehe?
 
Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..

"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni

hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe

View attachment 2806039

View attachment 2805928
Kama jambo halina maadili ya kitanzania, ni sehemu yoyote halitakiwi, sio baadhi ya sehemu tu. Na ukiona mambo yanatokea hivi ujue waliopewa mamlaka wameshindwa kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.
Hivi sio huyu waziri aliambiwa 'nonsense'?!!
 
🤣🤣🤣 Mkuu usinikumbushe bhna eti nonsense halafu proff....Tatizo siasa inanguvu sana
 
Huyo ni mcha Mungu tena m- TAG, ama mlokole hivyo suala la madawa hapo halipo, ni maombi kwa kwenda mbele.. ukiona unakerwa nae huenda una roho chafu ndani yako ama pèpo.. liambie ' pepo tokaaa'
Hahaaa, Mkuu, walokole hawa tulionao siyo. Drug trafficers wengi ndo hao watu. Ukiona watu wanaojitoa kwenye mainstream ya makanisa makubwa ya Kikristo na kuunda vijikanisa vyao wana agenda zao chafu na za siri sana.
Na wengi ni wanafiki sana. Siku ya mwisho watapigwa kibiriti.
Nikupe mfano mdogo.
Enzi za Rais Dr. Magu, huyu spika alimpongeza sana kwenye ule utumbuaji usio na haki,bila taratibu za kiutumishi, na mifano ipo. Na kama Spika alikuwa na nafasi ya angalau kuhoji kupitia mhimili wa bunge, hakufanya hivyo. Hata suala la vyeti feki hakuhoji chochote hadi Mungu alipoamua akaja Mama yetu Samia akawafariji. Na Mama aliona haikuwa haki mtu kufanya kazi over 30 yrs leo unamwambia hana cheti na hana chake.
Tuna wezi wa fedha za Umma,kama Spika alikuwa na uwezo wa kusimamia mhimili wake tukaona mabadiliko,sasa siyo mkweli,anaona ni sawa. Na cha ajabu, suala hili la Zuchu kalivalia njuga kana kwamba ndiyo la msingi kuliko hata yale mengine. Eti Waziri katumia kanuni gani kuwasimamisha kazi waalimu wale. Nimwulize Magufuli na washamba wake walitumia kanuni gani kunyima watu mafao yao kwenye yeti feki?
Unafiki kama huo, ni aina ya Uchawi ambao uko kwa viongozi wengi na hasa wanaojiita walokole. Hopeless
 
Huyo ni mcha Mungu tena m- TAG, ama mlokole hivyo suala la madawa hapo halipo, ni maombi kwa kwenda mbele.. ukiona unakerwa nae huenda una roho chafu ndani yako ama pèpo.. liambie ' pepo tokaaa'
Hopeless sana hao. Siku ya mwisho watatiwa kibiriti sanaa. Ni wanafiki sana hao unaowaita walikole
 
Mbona hata huku mtaani walipo hao watoto hii nyimbo hupigwa ?....au maadili yanatakiwa yawepo shule tu ?
Tena huko mitaani unaimbwa na kuchezwa mpaka ni visichana vya kuanzia miaka mitano !!
Utavikuta vinasema haniiiii huku vinacheza 😱🙄 !
 
Hahaaa, Mkuu, walokole hawa tulionao siyo. Drug trafficers wengi ndo hao watu. Ukiona watu wanaojitoa kwenye mainstream ya makanisa makubwa ya Kikristo na kuunda vijikanisa vyao wana agenda zao chafu na za siri sana.
Na wengi ni wanafiki sana. Siku ya mwisho watapigwa kibiriti.
Nikupe mfano mdogo.
Enzi za Rais Dr. Magu, huyu spika alimpongeza sana kwenye ule utumbuaji usio na haki,bila taratibu za kiutumishi, na mifano ipo. Na kama Spika alikuwa na nafasi ya angalau kuhoji kupitia mhimili wa bunge, hakufanya hivyo. Hata suala la vyeti feki hakuhoji chochote hadi Mungu alipoamua akaja Mama yetu Samia akawafariji. Na Mama aliona haikuwa haki mtu kufanya kazi over 30 yrs leo unamwambia hana cheti na hana chake.
Tuna wezi wa fedha za Umma,kama Spika alikuwa na uwezo wa kusimamia mhimili wake tukaona mabadiliko,sasa siyo mkweli,anaona ni sawa. Na cha ajabu, suala hili la Zuchu kalivalia njuga kana kwamba ndiyo la msingi kuliko hata yale mengine. Eti Waziri katumia kanuni gani kuwasimamisha kazi waalimu wale. Nimwulize Magufuli na washamba wake walitumia kanuni gani kunyima watu mafao yao kwenye yeti feki?
Unafiki kama huo, ni aina ya Uchawi ambao uko kwa viongozi wengi na hasa wanaojiita walokole. Hopeless
Labda amezinduka na kutubu
 
Ni maneno gani katika huo wimbo yanayoleta shida, kwa mfano?
 
Back
Top Bottom