Spika wa Bunge la JMT siyo lazima awe Mbunge. Mnaoshangilia anguko la Makonda angalieni furaha ya nyani isije kuishia jangwani

Hahahaaaa........ Nimekuelewa bwashee!
 
Kwa Nini watu wanafurahia Makonda kushindwa? Kwa nini furaha hiyo hiyo haionyeshwi kwa Mwanri aliyekuwa mkuu wa mkoa pia?


Kabsa
hapa ndio hao wanaomtetea wajaribu kutumia japo akili ndogo walizonazo kudadavua.
 
[SUP]Kwa wale watu wanaotaka kumcheka RC aliyepita naona mtulie tu maana confirmation bado so chill out[/SUP]
 
Unapomwambia yeye anakariri, jaribu kuthibitisha kwa kutoa mifano ya nafasi alizowahi tumikia kwa kuchaguliwa. Maana za uteuzi kila mtu anazijua.
Kwani Dr Tulia Ackson aliwahi kuchaguliwa wapi kabla wabunge hawajamchagua kuwa Naibu Spika wao?

Bungeni lolote linawezekana aliyefeli ni Le mutuz pekee!
 
Bwashee, we wa ajabu kweli. Ulikuwepo wakati yanatangazwa matokeo? Wale wajumbe walioshiriki kupiga kura, wakaripuka kwa furaha na kumshangilia Ndugulile baada ya matokeo, ni kutoka CHADEMA?
 
Tangu Marehemu Adam Sapi Mkwawa hatujawahi tena kupata Spika Muislam. Sijui Waislam wanakosea wapi?
 
Ishu si kushindwa, everybody knows kuwa Jiwe atamteua hata kuwa PM! Lakini message has been sent kuwa anachukiwa na UMMA wa watanzania kwa matendo yake aliyoyafanya/maneno yake etc etc. Hili ndilo la Muhimu! Vyeo atapata sana tena sana enzi ya Jiwe. LKN akija mwingine he will be held accountable on various criminal offenses! Nadhani umenielewa. It is no wonder labda Makonda ni wewe! (Mods msinfungie , I am just speculating, na speculation siyo kosa)
 
Spika wa bunge ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na si vinginevyo. Ila naibu Spika sio lazima awe wa kuchaguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…