The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Ndo nafasi mliyomwandalia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakumbushana tu bwashee!Pole sana, hizi nguvu unazotumia kujifariji ungezitumia Kigamboni kumkampenia Makonda leo usingehangaika hivi.
Hahahaaaa........ Nimekuelewa bwashee!Pole mkuu naona bado unateseka sana na anguko la Bashite! Lakini kufikilia Bashite kuwa spika wa bunge ni kuchosha kichwa chako bure! Taaluma yake kimo cha spika ni majimarefu! Pia kuhangaika kuwasema watu wa mtaa wa ufipa ni kujipiga mgongoni kufukuza nzi wakati nzi hao wanakuuma mbele ya kifua! Ukifuatilia hata kauli za katibu mkuu wa CCM Dk Bashiru mara kadhaa alionekana kukinzana na kauli za Makonda na sio Bashiru tu wapo wengi ndani ya CCM hawampendi mwana wa Mungu huyu, ndio maana pamoja na kuwahi kuwa DC wa kinondoni lakini alilikimbia jimbo la kinondoni akavuka ng'ambo kule Kigamboni akizania hawapo, wamemtia adabu! Sasa zile kauli za mkoa wangu......watu wangu.......Huku akiwatumia polisi kama mbwa wa kuwafuga nyumbani kwake sasa mwisho!
Mkuu ulisikiliza kwa makini hiyo (attachment )clip?
Hujui nguvu ya maelekezo kutoka juu wwIngekuwa spika anateuliwa na rais ok, lakini anapigiwa kura na bunge najua bashite hakubaliki kati ya wabunge.
hapa ndio hao wanaomtetea wajaribu kutumia japo akili ndogo walizonazo kudadavua.Kwa Nini watu wanafurahia Makonda kushindwa? Kwa nini furaha hiyo hiyo haionyeshwi kwa Mwanri aliyekuwa mkuu wa mkoa pia?
Kabsa
Unapomwambia yeye anakariri, jaribu kuthibitisha kwa kutoa mifano ya nafasi alizowahi tumikia kwa kuchaguliwa. Maana za uteuzi kila mtu anazijua.Endelea kukariri!
Njaa mbaya sana. Huyo mtoa mada ni mpambe maarufu wa Bashite hapa JF
Kwani Dr Tulia Ackson aliwahi kuchaguliwa wapi kabla wabunge hawajamchagua kuwa Naibu Spika wao?Unapomwambia yeye anakariri, jaribu kuthibitisha kwa kutoa mifano ya nafasi alizowahi tumikia kwa kuchaguliwa. Maana za uteuzi kila mtu anazijua.
Bwashee, we wa ajabu kweli. Ulikuwepo wakati yanatangazwa matokeo? Wale wajumbe walioshiriki kupiga kura, wakaripuka kwa furaha na kumshangilia Ndugulile baada ya matokeo, ni kutoka CHADEMA?Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika.
Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dr Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie Alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Gwajima naye ana laana ya kumtukana Cardinal Pengo
View attachment 1514557
Tangu Marehemu Adam Sapi Mkwawa hatujawahi tena kupata Spika Muislam. Sijui Waislam wanakosea wapi?Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika.
Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dr Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie Alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Labda hawaupendi!Tangu Marehemu Adam Sapi Mkwawa hatujawahi tena kupata Spika Muislam. Sijui Waislam wanakosea wapi?
Hahahaaaa........ Ni angalizo tu bwashee!Aise johnthebaptist Alhamisi njema ipi mkuu umeshaanza kutuharibia siku yetu
Ishu si kushindwa, everybody knows kuwa Jiwe atamteua hata kuwa PM! Lakini message has been sent kuwa anachukiwa na UMMA wa watanzania kwa matendo yake aliyoyafanya/maneno yake etc etc. Hili ndilo la Muhimu! Vyeo atapata sana tena sana enzi ya Jiwe. LKN akija mwingine he will be held accountable on various criminal offenses! Nadhani umenielewa. It is no wonder labda Makonda ni wewe! (Mods msinfungie , I am just speculating, na speculation siyo kosa)Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika.
Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dr Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie Alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.