DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
- Thread starter
- #21
akishapokea simu tu anahama kabisa katika mada iliyokuwa inajadiliwa,akirudi analeta stori nyingine inakera sana hii,mfano leo walikuwa wanajadili game ya city na Arsenal jamaa wakataka kuchambua kidogo kiufundi hii game ,kabla hajaanza wamepokea simu ya mdau ambaye akakumbusha kuwa leo kuna game ya Villa dah wakahamia mazima huko dadadekJamaa wanajitahd tatzo mkule yule ikishatajwa maada ya kudiscuss, kabla hata haijanoga kujadiliwa tukawasikilize wadau(wapiga simu) jamaa anayumba sana. Mkai yuko poa wampe Kawamba ahost sio kuchambua