Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Nionyeshe makosa yangu tafadhaliAcha ujuaji mkuu,iwapo utafanyika msako wa matumizi ya lugha fasaha humu basi asilimia kubwa humu ikiwemo na wewe pia tungekaa kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nionyeshe makosa yangu tafadhaliAcha ujuaji mkuu,iwapo utafanyika msako wa matumizi ya lugha fasaha humu basi asilimia kubwa humu ikiwemo na wewe pia tungekaa kimya
Unaweza ukawa tajiri wa fikra lakini huna kushoto wala kulia!Wapi nilipoonesha kuwa nimedharau mwanamke?!!!!nafikiri utakuwa na shida mahali,mimi kutokana na aina ya uandishi wako nilidhani ni jinsia nyingine ,
Bora uwe masikini wa mali kuliko kuwa fukara wa fikra kama wewe...
Wanakera boss wanaleta itikadi za kimasikini we kitu kama hukipendi achana nacho kwanini ukaze ubongo.Mkuu hii ni thread tu kuanzia mwanzoni unaponda tu na hasira ,kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni huwezi kumpangia hebu tuliza munkari
Wabongo ukiona hivyo ujue timu yake imepewa ukweli.Unaonaje ukiacha kuwasikiliza na sio kupoteza muda wako kuwasikiliza ili uje uandike uzi JF? Huo muda ungetengeneza hata mia mbili.
Ahahahahaukweli mtupu kasoro kumpunguza momo na Edo ....Momo kwenye session ya kudele atulie hapo, kuna kitu ana add kama mbwiga wa clouds....Edo chemistry na watu wa hapo inafeli....kawambwa na wengine wakatwe ....abaki Maulidi kitenge kama muongozaji na wachambuzi wabaki yule mnyakyusa na Edo tosha.....
Mimi niliach kusikiliza kipindi chao CH magazeti asubuhi.Labda niweke wazi kuwa sina chuki hata chembe na hiki kituo cha redio na wala sina utimu mimi....ila ukweli lazima usemwe ili ikiwezekana mabadiliko yafanyike.
Awali kipindi hiki kilipoanzishwa niliahidi kuwa mdau mkubwa wa kipindi hiki cha michezo lakini kadri siku zinavyozidi kwenda nilianza kuwa mvivu kusikiliza kipindi hiki.
Nadhani nilivutiwa na majina yaliyosajiliwa kina Eddo, Kitenge, Kawambwa, Mkule, Abdallah n.k nikawa na matarajio makubwa sana lakini sasa nimegundua kuwa hiki kipindi hakina tofauti na timu ya taifa ya Argentina ambayo ina ma-pro wakutosha lakini mafanikio 0.
Kinachokera hawapo vizuri katika kusimamia agenda zao za kipindi
Wanaweza kusema kuwa leo wataongelea jambo fulani lakini katikati ya majadiliano mwingine analeta jambo lingine kabisa na wote wanatoka katika mjadala husika na kuingia katika mjadala mpya pasipo kumalizia ule wa awali.
Na hili linatokana na kujazana sana hapo studio matokeo yake kila mmoja anataka asikike,kuna haja ya kupunguza watu hapo studio wakabaki wachache tu ili utlivu na usikivu uwepo,kwa mfano huyu Ricardo Momo sijui anafanya nini hapo maana hamna lolote analolijua katika soka zaidi ya stori za Liverpool tu; yeye akiwa anazungumzia mada zake mifano yake ni VVD, Salah, Bob Filmino na Mane.
Punguza huyooooo huyu Eddo Kumwembe ni mzuri katika magazeti tu lakini huku anapuyanga tu na kujaza wingi tu, anzisheni gazeti la Wasafi mumpe page yake huko.
Kipindi ni cha hovyo sana siku hizi limekuwa kama maskani ya masela au kijiwe cha kahawa, wana mkusanyiko wa watangazaji na wachambuzi wazuri lakini teamwork 0.0000
Mumeachwa mbali sana na EFM, MAGIC na EA Radio
Chukua kwanza Namba ya huyu Dada huwezi juasawa dada yangu nimekuelewa,nipe hiyo namba nijaribu kumtafuta huko pia....
Ni kweli, alafu haka katabia kakumpangia tajiri afanye nini na asifanye nini kanabidi kaachwe Sir kanazidi kukita mizizi.Wabongo ukiona hivyo ujue timu yake imepewa ukweli.
Tupo zama za kusifiana. Ukiambiwa mapungufu yako ni nongwa kubwa.
... ya stori za Liverpool tu; yeye akiwa anazungumzia mada zake mifano yake ni VVD, Salah, Bob Filmino na Mane.
Wewe kweli ni mtu wa hovyo kuwahi kutokea yaani unanilazimisha kuuliza!!kama lengo langu lilikuwa kushangaa je?khaaaaaUnaweza ukawa tajiri wa fikra lakini huna kushoto wala kulia!
.
Hakuna aina ya uandishi duniani wa kutumia mashine za kielektroniki unaoweza kuelezea jinsia ya mtu narudia HAKUNA!
.
Thanks for wasting my time, mtu unayeweka alama za mshangao nne baada ya kuweka alama ya kiulizo [emoji13][emoji13][emoji13]
kuna haja ya kupunguza watu hapo studio wakabaki wachache tu
Mkuu,nimecheka kama chizi ...yaani umepaona hapo tu hahahahahaha
Hili dongo ni lako mkuu,jiongeze basi.Ni kweli, alafu haka katabia kakumpangia tajiri afanye nini na asifanye nini kanabidi kaachwe Sir kanazidi kukita mizizi.
.
Wewe hapo unaweza kuwa tajiri mkubwa tu leo hii sijui umepataje mali zako eti nataka nikuone unaemdesha VXR na sio Vitz na unakula Marry brown na sio kwa Shishi food. Ahahahah
Hahahaha we jamaa dah, ila hiyo mifano yake jamaa kama alikuwa kipofu sasa akapona na watu wa kwanza kuwaona tu ni hao hahahahahaPamoja na kusapoti ulichokiandika, ila kweli hiyo mifano hata mimi ingeniuma ningekuwa upande wako.
Hahahaha we jamaa dah, ila hiyo mifano yake jamaa kama alikuwa kipofu sasa akapona na watu wa kwanza kuwaona tu ni hao hahahahaha
Ingawa mimi ni Kop lakini kwa hilo hapana
Na wewe unayeweka nukta kwanza alafu ndio unashangaa? 🙂 sawasawa,punguza ujuaji ilhali na wewe hujui,khaaaaaaUandishi wako tu unaonyesha nani mshamba kati ya mimi na wewe.!
.
Huwezi kuweka nukta tatu katikati ya sentensi wala mwisho wa sentensi uliza huwa zinawekwa wapi bila kusahau hujui matumizi ya herufi kubwa.!
pia neno lolote la kiingereza linapowekwa sambamba na neno la kiswahili hutumika alama ya toa kama hivi MTA-SHARE.
.
Please go back to elementary school you got few things to learn Sir!