Sports Extra ya Clouds Fm: Golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja

cheki hii mkuu
Your browser is not able to display this video.
 
Kabla hujawalaumu subiri kwanza msimu uishe, kwa hii spidi yenu ya kugongwa nahisi atavunja hiyo rekodi yake.
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
Nimecheka kizembe!
 
Kwako studio, Jesse John
 
Usipende habari za kuambiwa.
Ipi habari ambayo sio ya kuambiwa..?.kwa maana habari zote za michezo na burudani tunapashwa au kuambiwa na waandiahi wa habari kupitia mitandao ya kijamii na vituo vya habari Television na radio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ