Sport extra hakuna wachambuzi Bali wachafuzi
Niliacha muda mrefu sana kusikiliza hicho kipindi ni wahuni Fulani ivi was mjini washibishe matumbo yao.
Nimemsikia Lwambano eti yanga wanasajiri kibiashara,huo no uchambuzi kweli?
Wachezaji wengi wametoka As vita club, na ndiyo hao waliomnywesha simba5. Kina mchezaji wa kumtilia shaka pale?
Kipindi cha kwanza yanga walidominate game, timu haifanya preesezone kiwango kile ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.
MLITAKA IWEJE?
MBONA HAMUUNDI TIMU YETU TUONE UWEZO WENU WA KUSAJIRI.
SASA NINAMJEKEWA MANARA JUU YA WACHAMBUZI
Sent from my TECNO CA7 using
JamiiForums mobile app