Ni tukose sote mkuu
Haiwezekani wao wafe njaa halafu waliowaletea majanga waendelee kufaidi walivyoibaHapo Wote mnakuwa wahalifu, wao wanakuwa corrupts na ninyi mnakuwa transgressors--- mbele ya sheria kila mmoja anayo mashitaka yake na hata mbele ya Mungu pia kila mmoja anayo mashitaka yake.
Taja wote tu usibague,Hii ilibidi ije kwenye familia ya makamba,kikwete,mwinyi.Nchi inakuwa ya kiukoo,hali mbaya kila mahali.
Hebu rudia tena? Wapi? Tulishalogwa kule Bagamoyo Mlingotini kuna Kisima kimoja kiongozi alitumbukizwa huko. Nasi bongo zetu ziko ndani kisimani mule. Mpaka tukombolewe kwa miujiza. HahahahaSaafi, binadamu wakipata madaraka wanakuwa wabinafsi sana. Tz tunachakujifunza hapo.
We unaweza kutoa pesa yako kununua gari ambayo haina card?Wapumbavu hao wananchi, kwanini wanachoma magari??!! Badala ya kiyapiga mnada na pesa zinazopatikana zitumike kwa ajili ya shughuli ya umma!!!.
Vieit? Mbona hata Masanja Mkandamizaji anayo tena ni brand new, hiyo ndinga haifiki hata nusu bei ya mojawapo ya hizo ndinga zilizopigwa kiberitiMnaijua vieite nyie?
Si bora yao wapumbavu wewe si ndiyo matako kabisa ambaye hujachukua hatua yeyote hadi sasa!!Wapumbavu hao wananchi, kwanini wanachoma magari??!! Badala ya kiyapiga mnada na pesa zinazopatikana zitumike kwa ajili ya shughuli ya umma!!!.
Utapiga mnada, nani atanunua wakati wananchi wameamua kutoa adhabu kwa mafisadi? Wanunue halafu yachomwe?Wapumbavu hao wananchi, kwanini wanachoma magari??!! Badala ya kiyapiga mnada na pesa zinazopatikana zitumike kwa ajili ya shughuli ya umma!!!.
Utapiga mnada, nani atanunua wakati wananchi wameamua kutoa adhabu kwa mafisadi? Wanunue halafu yachomwe?
Si bora yao wapumbavu wewe si ndiyo matako kabisa ambaye hujachukua hatua yeyote hadi sasa!!
Hapa kwetu nasikia Mwenge unawapumbaza watu kwa hiyo hali itaendelea kuwa shwari daimaSaafi, binadamu wakipata madaraka wanakuwa wabinafsi sana. Tz tunachakujifunza hapo.
We unaweza kutoa pesa yako kununua gari ambayo haina card?
Au shamba lenye mgogoro?
Hamjifunzi kwa makonda na GSM?
Haiwezekani wao wafe njaa halafu waliowaletea majanga waendelee kufaidi walivyoiba
Jaribu kutumia akili kidogo, yaani mali sio yako utaiuzaje na huyo mnunuzi atakuwa mjinga kiasi gani kununua mali iliyotokana na maandamano ya wananchi,?dawa ni kufanya kama walivyofanya tu.Wapumbavu hao wananchi, kwanini wanachoma magari??!! Badala ya kiyapiga mnada na pesa zinazopatikana zitumike kwa ajili ya shughuli ya umma!!!.
Jaribu kutumia akili kidogo, yaani mali sio yako utaiuzaje na huyo mnunuzi atakuwa mjinga kiasi gani kununua mali iliyotokana na maandamano ya wananchi,?dawa ni kufanya kama walivyofanya tu.
πππ Kwamba Masanja ana LC 300 sio?Mzaha au sio mzaha πππ.Vieit? Mbona hata Masanja Mkandamizaji anayo tena ni brand new, hiyo ndinga haifiki hata nusu bei ya mojawapo ya hizo ndinga zilizopigwa kiberiti
Anayo hiyo ndinga tena kainunua juzi tuπππ Kwamba Masanja ana LC 300 sio?Mzaha au sio mzaha πππ.
Hao Wananchi wajiajiri Kama ilani ilivyoelekeza.Unapigaje mnada huna ridhaa ya mwenye mali?magari yenyewe ya hadhi kubwa hayo wanunuzi wake sio wa kuokoteza