TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

Hakuna cha Uchawi wala shangazi yake ulozi,
Kwenye familia nyingi ikitokea Mama katangulia basi Baba huwa hachukui round, hapa nazungumzia watu wanaopendana kwa dhati.

Wababa wana roho ndogo sana wanapofiwa na wake zao tofauti na wamama ambao wakiangalia watoto basi wanajikaza na maisha yanasonga.
 
Unakuta kuna muda mtu unawaza, bora uanze wewe kufa, uwaache vipenzi wako. Lakini analopanga Mola halina makosa.

Sisi huwa tunaomba mwisho mwema, sababu kujiua ni kuidhulumu nafsi yako na ni kosa kubwa pia.
 
Alikuwa hana sifa ya uanajeshi. Mwanajeshi anapohesabika amekufa kishujaa ni anapokuwa vitani anapoona ametekwa au kuliko kutoa siri kwa maadui ni aheri ajitoe uhai huyu ndio mwanajeshi.

Ila mwanajeshi anayejiua sababu za hovyo hovyo za kis?$*&%$##nge za kidunia mfano mapenzi huyo alikuwa mwanajeshi feki hata vitani angeweza kusaliti wenzake.

Kwa kawaida mwanajeshi wa aina hii huwa akifa hazikwi kwa heshima za kijeshi
 
Mkiambiwa muwe na michepuko hamsikii, ona sasa. Anakosaje mke mdogo wa pembeni? Hili ni tatizo
 
Reactions: SMU
Upo sahihi kabisa. Nilisema vile kwa sababu niliamini ktk umri wake ule ameshashudia mambo mazito ikiwemo hata vifo vya ndg zake wa karibu kiasi kwamba moyo na ubongo vimeshakuwa na uwezo kuhimili mambo mazito!
 
Pole sana kwa watoto na familia, siku zote kauli yangu ni kutokushindwa, nipitie misuko suko na mateso ya nafsi na mwili kama Mwenyezi Mungu hajaamua kunichukua, hakika siwezi idhulumu nafsi yangu na niwaachao.

R.I.P Ruta.
 
Hujapenda wewe...hata mimi naweza jitoa uhai kwaajili ya mapenzi...wee acha kbs!ndo maana kasema wanaye wamsamehe

Nilikuwa na mawazo kama ya kwako, na nilikuwa pia na hisia kama za kwako, ila kwa sasa nishakuwa sugu[emoji81][emoji23], yaani ni kama ambulance vile unalia huku safari inaendelea.
 
Asilaumiwe huzuni ilinishinda nguvu. Au anajisikia vibaya labda ni yeye alisababisha mke kutangulia. Hizi Mali unaweza kufanya utaniutani ukaingia kwenye maagano yakakucost.
 
Nilikuwa na mawazo kama ya kwako, na nilikuwa pia na hisia kama za kwako, ila kwa sasa nishakuwa sugu[emoji81][emoji23], yaani ni kama ambulance vile unalia huku safari inaendelea.
Mimi hata kwenye usugu nimepita.. sijui niko stage gani nw🤣🤣
 
Yaani amekutwa tuu amekufa juu ya kaburi kwa kuugua ghafla?

Njia pekee ninayoiona ni yeye kunywa sumu na kulala/kwenda hapo kusubiri kifo, japo kutetea hoja hii inahitaji nguvu...
Halafu wamelizika na kuamua kumzika fasta tuuh??

Anyway R.I.P.

Kuna vitu kidogo hata mimi naona vipo tofauti ilitakiwa ichunguzwe vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…