TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

Hii ni kweli, msongo wa mawazo ni tatizo kubwa Tanzania basi tu.
 
RIP

Poleni wafiwa.

Reginald is an English masculine name developed from the Germanic Raginald derived from the elements “ragin” meaning “advice, counsel” and “wald” meaning “rule”.

Maana ya jina na vituko vyao ni tofauti
 
hakujali kawanyima watoto haki ya kuwa na baba kawazawadia uyatima wapumzike walipo jichagulia Mambi ya rohoni ni mazito cc @mshanajr kaka hii kiimani imekaaje
 
[emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi inakuaga, mke akitangulia mume hachukui round hubaki wakiteseka....
Apumzike kwa amani kamanda, pole kwa familia.
Mi nahisi kwa kuwa wanaume wanaamini wao ndo wanatangulia kufa wanawaacha wake zao huwa wako relaxed...sasa inapotokea mke kafa kamuacha yeye, huwa mwanaume hawezi kustahimili, ndo kama kujiua

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kiruuuu[emoji134]

Kwa hiyo mke kafa kwa heart attack?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
hii kitu Bongo hakuna anayeelewa kabisa
Kama mshua wangu kuna siku nikamwambia nina stress kazi yake fulani sitaweza kufanya vizuri nitavurunda siko sawa.....nilipewa makavu nikaambiwa stress ni kujilegeleza na kudeka deka, nipige kazi [emoji16][emoji16]

Imagine huyo ni mzazi wako je mtu baki

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mi nahisi kwa kuwa wanaume wanaamini wao ndo wanatangulia kufa wanawaacha wake zao huwa wako relaxed...sasa inapotokea mke kafa kamuacha yeye, huwa mwanaume hawezi kustahimili, ndo kama kujiua

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hivi na wao huwa wana hilo wazo la kutangulia? Naonaga kama wanawake ndio twawaza hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…