Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

Hasa makanisani vyoo utakuta vichafu havina hata maji,tofauti na msikitini maji yapo mda wote
 
Wangetokea wenye akili zao wajisaidie sehemu ya wazi ndo wamgetia akili. Sasa pale mtu unaenda kujisaidia wapi?
Unajua kunavitu havihitaji hata bajeti ipitishwe na madiwani.
Nivitu vya dharura.
Na Kuna maafisa afya they are paid.
 
Hasa makanisani vyoo utakuta vichafu havina hata maji,tofauti na msikitini maji yapo mda wote
Nadhani wewe umeelewa vibaya maoni yangu. Unadhani kwamba nimewapiga kijembe waislam kumbe hapana. Mimi nimezungumzia tabia yetu kama watanzania siyo kikundi fulani cha watu. Hili kuweka maji ya kutawadhia chooni siyo jambo baya kama maji yatawekwa na kutumika kwenye hali ya usafi. Tatizo lililopo sasa ni kuwa unakuta ndoo moja yenye maji na kopo la kuchotea ambalo analitumia kila mtu bila kuzingatia ''hygiene''. Ndoo inakuwa inajazwa kila siku bila hata kuisafisha, na kopo nalo linatumika na watu wengi bila kuoshwa!
 
Inasikitisha sana
Katika vitu nimegundua hatujali sisi waswahili ni choo. Unakuta choo kiko mahali pa umma lakini ni pachafu kupita maelezo. Unakuta watu wamevaa masuti mazito mazito lakini hivyo vyoo wanavyoenda kujisaidia ni bonge la aibu.
 
Labda viongozi wa hii stand wame zowea kutawaza na majani, ndiyo maana hawaoni umuhim wa maji!
Ni CCM hao viongozi wengi ni mabasha na mashoga wanapata stimu wakisikia harufu ya mafiii
 
Waweke vichaka hapo nje watu 'wachimbe dawa'! Si ndo mila na utamaduni wa bongoland?
 
Kwani si mliambiwa muache mavi yenu nyumbani, au mmesahau? [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Stand ipi hiyoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Du kingereza ulicho ongea kinatereza kama umepaka kilainishi nyuma .....lazima utakuwa umefundishwa na basha wa kizungu, yaani hadi nimedindisha
Siyo kila jukwaa la kututangazia ushoga wako wee bwabwa.
Hii ni jukwaa la wenye mtazamo wa kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…