macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Jibu haliwezi kuwa ni kutegemea juhudi ya mtu mmoja. Tukitegemea mtu badala ya mfumo haya ndiyo matokeo yake.Labda kipindi cha mwendazake sio kipindi hiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu haliwezi kuwa ni kutegemea juhudi ya mtu mmoja. Tukitegemea mtu badala ya mfumo haya ndiyo matokeo yake.Labda kipindi cha mwendazake sio kipindi hiki
Hasa makanisani vyoo utakuta vichafu havina hata maji,tofauti na msikitini maji yapo mda woteChooni kuwa sehemu chafu kabisa yenye kinyaa ni utamaduni ambao tumeujenga siku nyingi na kuja kuuondoa itachukuwa muda mrefu sana. Utashangaa hata nyumbani kwa watu wameshaamua vyooni ni sehemu inayostahili iwe chafu. Na funga kazi ya yote unakuta kila choo unachoingia kinakuwa na ndoo moja iliyojazwa maji na kopo kwa pembeni eti ni maji ya kutawazia!! Kila mtu baada ya kujisaidia anachovya kopo ndani ya choo halafu anafanya shughuli yake. Ni kinyaa!!!! Ni chafu wa hali ya juu huu!!! NB: Sabuni, bomba la kunawa mikono na toilet paper ni vitu vilivyopigwa marufuku kwenye vyoo vingi vya Bongo.
Kila kitu tunafanya kwa kulipua tu.Nchi hii tulishashindwa kusimamia mambo yetu
Alafu hapo haja ndogo,haja kubwa ukitaka huduma hiyo unatoa pesa
Ova
Unajua kunavitu havihitaji hata bajeti ipitishwe na madiwani.Wangetokea wenye akili zao wajisaidie sehemu ya wazi ndo wamgetia akili. Sasa pale mtu unaenda kujisaidia wapi?
Nadhani wewe umeelewa vibaya maoni yangu. Unadhani kwamba nimewapiga kijembe waislam kumbe hapana. Mimi nimezungumzia tabia yetu kama watanzania siyo kikundi fulani cha watu. Hili kuweka maji ya kutawadhia chooni siyo jambo baya kama maji yatawekwa na kutumika kwenye hali ya usafi. Tatizo lililopo sasa ni kuwa unakuta ndoo moja yenye maji na kopo la kuchotea ambalo analitumia kila mtu bila kuzingatia ''hygiene''. Ndoo inakuwa inajazwa kila siku bila hata kuisafisha, na kopo nalo linatumika na watu wengi bila kuoshwa!Hasa makanisani vyoo utakuta vichafu havina hata maji,tofauti na msikitini maji yapo mda wote
Katika vitu nimegundua hatujali sisi waswahili ni choo. Unakuta choo kiko mahali pa umma lakini ni pachafu kupita maelezo. Unakuta watu wamevaa masuti mazito mazito lakini hivyo vyoo wanavyoenda kujisaidia ni bonge la aibu.
Choo ndio kipimo cha akili ya mtu
Ukitaka kujua utimamu wa akili ya mtu Tazama choo chakeBasi wabongo wengi wana akili kiduchu
Cheki hii ng'ombe ya mayere hata haielewi ilicho somaWe stendi masaa 6 wafanya nn
Ni CCM hao viongozi wengi ni mabasha na mashoga wanapata stimu wakisikia harufu ya mafiiiLabda viongozi wa hii stand wame zowea kutawaza na majani, ndiyo maana hawaoni umuhim wa maji!
Waweke vichaka hapo nje watu 'wachimbe dawa'! Si ndo mila na utamaduni wa bongoland?Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani si mliambiwa muache mavi yenu nyumbani, au mmesahau? [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Stand ipi hiyoo
Siyo kila jukwaa la kututangazia ushoga wako wee bwabwa.Du kingereza ulicho ongea kinatereza kama umepaka kilainishi nyuma .....lazima utakuwa umefundishwa na basha wa kizungu, yaani hadi nimedindisha