Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #301
π€£πππ, Bado SanaFanya mpango uoe mda huo mwenzio nimechoka kwa kipigo cha utu uzima
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.
[emoji117]Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.
Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.
[emoji117]Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.
Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
[emoji117]Watu wa style kama yangu, huwa mnaishije[emoji855]
View attachment 2783816
Kaka Mimi hata hiyo cannabis situmiiππ€£π,Same here
Sema mm kwny pombe sinywi ila hua na meditate na cannabis
Washkaji wakiwa outside Nshazoea kuambiwa antisocial/introvert π₯·[emoji2535]
π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€βππππPoor Brain a.k.a pua Neneπ€£π
voda wanasemajeπ€π€π€π€π€π€π€π€π€π€βππππ
Fanya uje mjini tsap mkuu
Ahahahahah weee wale jamaaa an tunafika kule wanasema ni operation ya nyumba kw nyumba alafu sasa...voda wanasemaje
ni uwakalaπ€£ wanasema freelancer ila ni uwakalaAhahahahah weee wale jamaaa an tunafika kule wanasema ni operation ya nyumba kw nyumba alafu sasa...
.mkuu acha tuu nimechoka
Walikua wengi..ni uwakalaπ€£ wanasema freelancer ila ni uwakala
dah kmmk ila maisha magumu aiseeWalikua wengi..
Kuna mdau alisema twende na mabuti yenye sori ngumu ni kweli aiseeeeee pale unapewa kofia na tshirt... pia unapewa na location yako sasa wee assume unapelekwa kitunda kule ndani ndani.. mkuu acha tu.. nikasema bora niende kiwanda cha rasta nikasimame masaa 8 huko
Usicheke hali mbaya ππππππππππ na wadada pia walikuwepo mkuu oooooh wee sikia tuu.. mambo ipo kule watu wanarudisha vitu aiseee jua kali dasalam nyie Intelligent businessman anaelewa hilidah kmmk ila maisha magumu aisee
pole sana aisee,Usicheke hali mbaya ππππππππππ na wadada pia walikuwepo mkuu oooooh wee sikia tuu.. mambo ipo kule watu wanarudisha vitu aiseee jua kali dasalam nyie Intelligent businessman anaelewa hili
Nakuombea usije pitia haya tunayopitia mkuu.. God ata blesspole sana aisee,
bado mwaka na mimi nije nijionee
Acha kulia Lia hovyo π€ππ€£Nakuombea usije pitia haya tunayopitia mkuu.. God ata bless
Japo ni jua kali mno.. jua halina huruma aiseeeee linachoma ππππ
We mse...laAcha kulia Lia hovyo π€ππ€£
Kuna nini huko mjini π€£πππ€π€π€π€π€π€π€π€π€π€βππππ
Fanya uje mjini tsap mkuu
Niko nanjilinjii mkuu, mshamba_hachekwi huyu Jamaa wame mfanya nini ao Vodaπ€£πUsicheke hali mbaya ππππππππππ na wadada pia walikuwepo mkuu oooooh wee sikia tuu.. mambo ipo kule watu wanarudisha vitu aiseee jua kali dasalam nyie Intelligent businessman anaelewa hili
kazi ngumu uwakalaNiko nanjilinjii mkuu, mshamba_hachekwi huyu Jamaa wame mfanya nini ao Vodaπ€£π