Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

Acha wivu wewe Freeman Mbowe, kwanza umesikia pombe zimezuiliwa bongo? Nakutania bana ucje ukafa bure
Mkuu naomba tuheshimiane. Sina maisha ya kupuuzi. Tusilete siasa kwa jambo la Kihandisi.
 
Jibu hoja acha kuongea lugha ya jikoni ya akina mama kuunguza mboga.
 
Kawadanganye watu wa huko kijijini kwenu
 
Tuache kujidanganya, hii stendi unaweza kuifananisha na airport gani? Kuwa mwana CCM lazima uwe zezeta, kazi yako ni kusifu na kuabudu bila kufanya reasoning ya kile unachokisifu na kukiabudia
Terminal III ipo kama hiyo
 
Mh Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina ktk mtaa wako
Na ile inayojengwa ngangamfumoni moshi ikikamilika sijui mtafananisha na nini
 
Kiukweli stendi ni nzuri sana ila Hilo suala la basi ikishusha au kupakia abiria lazima irudi nyuma nimeliona na kwakweli sijui watalaam wetu/designers hawakuona au makusudi. Nilitarajia gari wakati wa kutoka iende mbele na sio kuanza kurudi riverse
kuna tatizo gani basi kurudi reverse? si ndio maana magari yana reverse sababu hiyo ama? yani katika point zote mnaona hii ndo point watanzania nani kawaroga
 
kuna tatizo gani basi kurudi reverse? si ndio maana magari yana reverse sababu hiyo ama? yani katika point zote mnaona hii ndo point watanzania nani kawaroga
Mkuu binafsi nimesema hiyo stendi ni nzuri sana lkn hiyo haizuii mtu kukosoa mapungufu. Mapungufu ndio kujifunza siku zijazo.
 
Mataa yamemchanganya huyo. Watu Kama hawa sokoni karume wanauziwa shati jeusi kwenye mwanga hafifu akifika nyumbani ndio anajua kaingizwa mkenge. Jamani mainjinia njoeni huku hiyo michoro vipi, ni parking ya IST au vipi. Maana sielewi gari inatokaje ikipaki hapo. Au ramani waligoogle.
 
This is what we want. Mambo haya ndio yalitakiwa yawe yamefanyika kitambo sana.

Hongera kwa watanzania wote kwa ulipaji kodi uliopelekea kupatikana kwa stand hii.

Hongera Mh Rais Magufuli kwa usimamizi mzuri wa kodi hizo ni jitihada zako za kuwahidumia Watanzania
 
Nitashangaa stendi kama hii alafu huku nje tunaanza kuvutana mashati kama Ubungo "usiendeee huku......njoo huku........tiketi unakatia hapa.........".

Stendi nzuri iende na utaratibu mzuri wa kupokea na kuwahudumia abiria na si kupigiana kelele na kuvutana mabegi,mwisho utunzaji muhimu wabongo kwenye utunzaji tunachemka ,mfano daraja la kigamboni sasa taa mbovu.
 
Hakuna Jambo jipya linalotekelezwa na serikali ambalo upinzani hakulipigia debe bungeni toka enzi za bunge la Tisa Hadi la kumi la spika la mama Makinda hoja zote walizozipigia kelele wakati huo ndo Rais anazifanyia kaz ni hoja za wapinzani ndo ccm.wanajinadi nazo uwe na kumbuka kuanzia 2015 Hadi 1992 utanielewa nautaelewa taifa lipo wap kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…