Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona makamanda povu linawatoka CCM inapoenda kujipatia Makamu wake wa Mwenyekiti

Kwenye Uongozi wa kisiasa Mzee Wassira hana tofauti yoyote na Mzee Freeman Mbowe

Kunya anye kuku dadeki πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukilinganisha umri, Mbowe ni mdogo kwa Wassira kwa zaidi ya miaka 20.
Ajabu na tofauti ni kwamba Mbowe anaondolewa wakati Wassira anaingizwa
 
Yupo?
 
Timu Kinana wako humo? Je watatoa speech?
Vipi mzee wa Bumbuli atatoa speech?
Je wajane wamealikwa?
 
Tanganyika tunaenda tunaenda mbere, halafu tunarudi kinyumenyume harafu mbere?

Alaaah! Ni Tanzania kumbe nimeandika T'nyika! πŸ˜„
 
Naona makamanda povu linawatoka CCM inapoenda kujipatia Makamu wake wa Mwenyekiti

Kwenye Uongozi wa kisiasa Mzee Wassira hana tofauti yoyote na Mzee Freeman Mbowe

Kunya anye kuku dadeki πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbowe akirejea chadema, ccm watakuwa na hoja nyingi ziadi za kushambulia chadema
 
Naona makamanda povu linawatoka CCM inapoenda kujipatia Makamu wake wa Mwenyekiti

Kwenye Uongozi wa kisiasa Mzee Wassira hana tofauti yoyote na Mzee Freeman Mbowe

Kunya anye kuku dadeki πŸ˜‚πŸ˜‚
wakiskia wivu sana na wao wamchague mpiga vizinga Mzee Azaveli Lwaitama kua makamu mwenyekiti wa Chadema BaraπŸ’
 
Unaambiwa Mbwembwe na chereko zote zimezimika mithili ya Mshumaa Jangwani!
 
Wenzio ndo wanamuua kwa kumpa kazi ngumu wewe unasema yuko vizuri, kwa age ile namuonea huruma. Hawezi kuimili mikiki mikiki ya 2025. Ni kazi ngumu kwake kwa sababu ya umri. Ndo atajua kuna umri ukifika unapaswa kukaa na kushauri tu na siyo kufanya kazi. Angalia uso wa JK, he is melting, ndo iwe wasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…