Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
uzuri wa CCM,
kadiri umri unavyosonga ndivyo mwanaCCM ndivyo anavyokua, powerful, bora sana na anakua makini zaidi,

si chadema kadiri umri unavyokwenda ndio wanakua wapiga vizinga zaidi πŸ’
Ungesemaje sasa kujustify bakuli lako la uji? Umakini wa kulala usingizi? Sasa kama alilala miaka karibu 10 iliyopita leo hii si itakuwa unamboost kbs hata kula? πŸ˜› πŸ˜›
 
Chukuwachakomapema hawana JIPYA!
Twajuwa WANAIBA KURA! Ila haiwezekani MDANGANYIKA akawa anadanyika miaka na miaka!
It's beyond our beliefs kabisa kabisa kabisa 😑😑😑😑😑
 
Hahaha, mkuu ukichunguza Kwa jicho la kiroho utagundua kuwa nchi hii Mungu ameshaikataa, na hata kelele za maombi zinazopogwa ni chukizo mbele zake.
 
Naona makamanda povu linawatoka CCM inapoenda kujipatia Makamu wake wa Mwenyekiti

Kwenye Uongozi wa kisiasa Mzee Wassira hana tofauti yoyote na Mzee Freeman Mbowe

Kunya anye kuku dadeki πŸ˜‚πŸ˜‚
CCM wamemsaidia Mbowe pakubwa sana kwenye huu uchaguzi. Uteuzi wa Wasira unawafumba midomo waliokuwa wanasema Mbowe kakaa madarakani muda mrefu .
 
Hivi CCM haina vyama rafiki humu nchini? naona vya nje tu, FRELIMO, ANC, UMPLA, RPF, Chama cha museveni. Sijaona CHAUMA, CUF, CHADEMA wala ACT, aliyeona aseme
 
Hahaha, mkuu ukichunguza Kwa jicho la kiroho utagundua kuwa nchi hii Mungu ameshaikataa, na hata kelele za maombi zinazopogwa ni chukizo mbele zake.
Unaweza kukufuru yani kwa hali hii! Why Tz tu maboya kila level?
 
Ungesemaje sasa kujustify bakuli lako la uji? Umakini wa kulala usingizi? Sasa kama alilala miaka karibu 10 iliyopita leo hii si itakuwa unamboost kbs hata kula? πŸ˜› πŸ˜›
Gentleman,
elewa point ya msingi gentleman,
kadiri umri wa mwanaCCM unavyosonga ndivyo mwanaCCM huyo anakua powerful and strong enough to lead others, tofauti na vyama vingine πŸ’
 
Gentleman,
elewa point ya msingi gentleman,
kadiri umri wa mwanaCCM unavyosonga ndivyo mwanaCCM huyo anakua powerful and strong enough to lead others, tofauti na vyama vingine πŸ’
Hana uwezo huo!
 
Attachments

  • VID-20250118-WA0021.mp4
    4.4 MB
  • IMG-20250118-WA0012.jpg
    269.9 KB · Views: 1
Tena Wasira ana afadhali maana kapendekezwa, lkn Mbowe anang'ang'ania.
 
Alijiunga kipindi ambacho msemo wa kukatika mkia haujaingia rasmi kule anga za mtaa wa Lumumba. Jiwe ndiye alileta huu ubaguzi wa mwanasiasa wa CCM akihamia upinzani halafu baadaye karudi CCM kuwa ni sawa na ng'ombe aliyekatwa mkia. Thamani yake inakuwa imepungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…