Pre GE2025 Stephen Wasira atua kibabe na Ndege ya kibabe Mkoani Songwe. Kuwasha moto kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ccm inaelekea kufa,na mzee asipoangalia nayeye watamharakisha umri alionao niwakutafakari mapito yake nakurekebisha
 
Lilifanyika shindano la kusinzia kidunia wasira akawa mshindi wa kwanza alikuja kwenye mashindano akiwa amesinzia
 
Nasimama na Tanzania ,nitaipenda nitailinda ,Nenda Wasira kafanye kazi ,wewe bado ni kijana mbichi sana ,maneno ya wenye wivu wasikurudishe nyuma .
Nenda kijana wangu ,hakika una manguvu mengi sana mpaka nakuona wivu kijana wangu
 
Hivi mkoani songwe kuna uwanja gani wa ndege alipotua kibabe!?...mnakuwa machawa hamjui hata viwanja vya ndege vipo wapi
 
Siku 3 ni saa 72 , katika hizo saa 6-8 tu ndio atakuwa "active" zilizobaki nyingne itakuwa vipndivifup vya kuchapa usingizi.
 
Kuna wakati alizuga anafanya biashara ya samaki kumbe ilikuwa geresha tu alikuwa anajihusisha na biashara haramu ya viungo vya binadamu ni mwovu sana hyu dingi
Ujinga tu ndio umekujaa.acha wivu fanya kazi na siyo kupiga umbeya wako hapa
 
Huyu labda awe ametoka kupuliza vuvuzela ,vidampa kama hawa wanawekwa kwenye wale washangiliaji wakulipwa wapuliza vuvuzela hapo amesharudi jioni mashavu yanamuuma kaambulia buku 7.
Huwa wanapewa nyama na pombe hakuna malipo zaidi ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…