Stephen Wassira: Watanzania wamemuelewa na kumuunga mkono Rais Samia; wanasema kiwango chao cha furaha kimeongezeka

Ni Rais pekee ambaye anaishi moyoni mwa watanzania ingawa amelala. Shujaa wa Afrika nzima.

Watanzania wenyewe ndio hao akina Wassira waliorudisha furaha zao. Mimi ni mtanzania na hajawahi kuishi moyoni mwangu, hivyo kwenye nyie watanzania anaoishi mioyoni mwenu, mimi nitoe tafadhali.
 
It was 5 years of hell . Wacha watu wafurahie
 
Furaha lazima iwepo kwa wezi, wasiopenda kuambiwa kweli, wenye kutakabari, wenye ubinafsi, wanaojiwazia wao, wasiopenda kazi, wapenda kuna issue inaisikilizia haoo. By the way Wacha mjipe moyo mda huu ila siku Zaja nazo mtasema kumbe bora yule...
Nani atasema bora yule? Watu watawalaumu hao wengine, lakini sio kusema bora yeye.
 
Japo ni kweli Jiwe hakupendwa hata na mtu mmoja ila naona Wasira anataka kujiingiza kwenye reli ya Samia alambishwe uteuzi
 
Vyeo vya kisiasa havina ukomo wa umri kwa sababu ni matakwa ya wananchi wenyewe. Sasa kuna baadhi ya vijana vibaka kama Sabaya mnataka uongozi ili mnyanyase watu na kupora mali zao! Kafie mbali pamoja na jiwe lenu!
 
Kuna uwezekano mkubwa waliokuwa wanamshangilia JPM walifanya hivyo kulinda ugali wao...

Hivyo hivyo na hata sasa wanaomshangilia SSH wanafanya hivyo kulinda ubwabwa wao...
 
Ni Rais pekee ambaye anaishi moyoni mwa watanzania ingawa amelala. Shujaa wa Afrika nzima.
Shujaa pekee wa Afrika aliyelela na anayeishi miyoni mwa watanzania na waafrika kwa ujumla Ni Mwl. Nyerere. Acha kupotosha
 
Shujaa pekee wa Afrika aliyelela na anayeishi miyoni mwa watanzania na waafrika kwa ujumla Ni Mwl. Nyerere. Acha kupotosha

kama unamkana magufuli kipi kinafanya umkweze nyerere???

acheno unafiki nyumba ya pazia.

lissu hawawahi kumkubali nyerere hata magufuli pia maana ni waumini wa itikadi moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…