Stephen Wassira wewe siyo wa kumsema/ kumbagaza Kikwete namna hii. Umesahau Fadhila?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto?

Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?

Screenshot_20220410-084956~2.png
 
Lakini nadhani kazungumza ukweli.

Na kama Sakaya alivyosema alipokuwa akifanya Mahojiano na Wasafi Tv
Kwamba , Kosa Yule Mzee Mwenye Mvi kujiunga UKAWA.... 2015 kuivuruga , UKAWA pengine saivi Nchi ingekuwa Mikononi mwa Lipumba au Slaa😂😂😂😂
 
Kama anakiri waliingia kwenye mashindano wakiwa dhaifu ni dhahiri ushindi walioupata haukuwa halali.

Katiba mbovu tuliyonayo inawafanya CCM wasijali sana kuhusu umuhimu wa kuwa karibu na wananchi.

Hii Katiba mbovu inawapa ujeuri na uhuru wa kufanya chochote wakijua hata kwenye uchaguzi watashinda hata isivyo halali, tena bila kujali kama mgombea wao ni dhaifu.

Katiba Mpya ni muhimu sana, hasa ile rasimu ya Warioba ili kutuondolea huu utumwa wakuwekewa viongozi na Katiba [Tume ya Uchaguzi na muundo wake] badala ya kura za watanzania.
 
Si kweli. Lowassa ndiye aliyekuwa na nguvu that time. Ukawa kama Ukawa akina Slaa na Lipumba wasingeweza kuwa na ile nguvu. Ile nguvu haitakuja tokea tena mpaka miaka 30 ipite. Watu walimpenda Lowassa na walimwamini. Serikali isingeruhusu achukue Urais.
 
Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto?

Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?

View attachment 2182343
Muwe basi mnatumia akili hata kidogo.

Kwani alichokisema ni uongo?

Mbona hata CCM wenyewe wenye chama wanajua 2015 walikua hoi?
 
beki mahiri wa zamani wa ufaransa, lizarazu bixente, aliwaambia waandishi wa habari alipokuwa akihojiwa kuwa katika timu yao ya ufaransa waliambiwa kabisa na kocha kuwa ukiwa na mpira na hujui cha kufanya (umezidiwa) basi we mpe zidane tu; yeye atajua afanye nini.

kwa siasa zetu za bongo zilipofika kuanzia 2015, namfananisha kikwete na zidane. imekuwa ni kawaida sasa kila kiongozi, mwanasiasa au mwananchi mfuatiliaji wa siasa anapokuwa hana hoja au majibu basi zigo hutupiwa kikwete....ye atajua mwenyewe afanye nini.
  • magufuli ametumia muda wake mwingi tu kumsukumia kikwete kila jambo baya,
  • bashiru ametumia muda wake mwingi katika madaraka yake ya chama kumsukumia kikwete kila jambo baya,
  • kina hapi wametumia muda vizuri tu katika kumsukumia kikwete kila jambo baya,
  • vijana wa 'kazi maalumu' kina musiba, walitumia muda wao wote kumnanga kikwete kwa kila jambo baya,
n.k

Baada ya kifo cha magufuli;

  • wafuasi wa jpm wanatumia muda wao na rasilimali zao zote kumsakama tena kikwete,
  • wafuasi wa siasa, wasiojua chochote (mburura) nao wanatumia muda wao vizuri tu katika kumsakama kikwete,
  • viongozi wengine nao ndo kama hivyo.......n.k

aisee, huyu jamaa aitwae kikwete, ataondoka duniani (muda wake ukifika) akiwa amechoka sana; si kwa majukumu haya aliyopewa na binadamu!
 
Binadamu wakat wote hua anahitaji radha ya kitu chochote tofauti,the only way kuirudisha CCM katika akili za watu ni either kiingie chama kingine watu wapate radha tofauti ili waikumbuke CCM iliyotoka au wafanye coalition na Chama kingine.

Lasivyo,waendelee kutawala kwa mabavu-ambapo kwa badaye mwisho utakuwa mbaya na ndipo kitakufa kabisa.

By the way,haya yote ni kumpigia mbuzi gitaa maana kwa Nchi yetu hamna kiongozi anayeweka mipango kwa ajili ya future ila kwa ajili ya kufanikisha cha Leo.
 
Kama anakiri waliingia kwenye mashindano wakiwa dhaifu ni dhahiri ushindi walioupata haukuwa halali.

Katiba mbovu tuliyonayo inawafanya CCM wasijali sana kuhusu umuhimu wa kuwa karibu na wananchi.

Hii Katiba mbovu inawapa ujeuri na uhuru wa kufanya chochote wakijua hata kwenye uchaguzi watashinda hata isivyo halali, tena bila kujali kama mgombea wao ni dhaifu.

Katiba Mpya ni muhimu sana, hasa ile rasimu ya Warioba ili kutuondolea huu utumwa wakuwekewa viongozi na Katiba [Tume ya Uchaguzi na muundo wake] badala ya kura za watanzania.
Tatizo lako thinking capacity ipo chini sana ila unajitia ujuaji
 
Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto?

Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?

View attachment 2182343
Wassira yuko sahihi, Wassira anajua zaidi ya wewe vinavyoendelea nyuma ya pazia wakati wa uchaguzi, Wassira anajua kuwa CCM hushinda chaguzi kwa hisani ya dola. Wassira anajua na anauhakika kuwa Mrema alimshinda Mkapa kwenye uchaguzi wa Urais ndicko kisa cha matokeo kufutwa.
Wassira yuko sahihi, yeye yuko jikoni tofauti na wewe uliye sebuleni.
 
Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto?

Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?

View attachment 2182343
Mwaka 2015 ilikuwa Magufuli v Ukawa,Ilikuwa aibu kuiuza CCM
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Ndio maana hata wakati wa kampeni Magufuli alijua kuwa watu walikuwa haipendi ccm na ndio maana alikuwa anasema “ Chagua Magufuli “ na sio chama chao!!
Na shangaa Hawa jamaa kumuchia Vasco Dagama kumrudisha Kinana huku wakijua fika kuwa ufisadi wa Kikwete ulifanya ccm inuke mbele ya wananchi!! Walikuwa mpaka wanaogopa kuvaa mashati yao ya kijani mitaani!
 
Na hata sasa ndiko hicho chama kinakoelekea, kitarudi vile vile ya enzi za Kikwete.
 
Ukweli usemwe....hakuna kubagazana...Wassira kazungumza ukweli
 
Back
Top Bottom