Stephen Wassira wewe siyo wa kumsema/ kumbagaza Kikwete namna hii. Umesahau Fadhila?

Stephen Wassira wewe siyo wa kumsema/ kumbagaza Kikwete namna hii. Umesahau Fadhila?

Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto?

Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?

View attachment 2182343
Ndio Ccm tangu wakati wa Kikwete hadi huu wa Samia haijawahi kuwa stable zaidi ya kutegemea nguvu za dola ili iendelee kuishi. Ukisema Ccm kisimame chama chenyewe bila msaada wa Serikali, utashangaa hakuna mwanachama hata mmoja aliyebaki hapo.
 
Umeona eh! CCM wanapata nguvu bure ya kumpamba Lowasa kwa vile amerudi kwao,ningekuwa mimi Lowasa angepokelewa na kupewa nafasi ya kugombea ubunge au nafasi nyingine lakini si uraisi,hapo CHADEMA walikosea sana.

Wewe hujui kitu enzi zile UKAWA ilikuwa na nguvu na wawakilishi wake kama akina Mbowe,Slaa,Sugu,Lissu,Msigwa,Mnyika,Mdee,Bwege,Mbatia na yule jamaa wa Kigoma aliyepewa ukuu wa Mkoa wa Simiyu kwa kuibua hoja zilizowagusa Watanzania wengi na kuwa kipenzi cha watu,Lowassa kapata umaarufu tu kwa vile alijiunga na UKAWA.
Ungekosoa Kwa hekma ungepungukiwa nini? Kama Lowasa hakuwa na nguvu ni nini kilichotokea Dodoma kwenye mikutano ya CCM? Hadi Majaliwa aliimba ana Imani na Lowasa,Lowasa alikuja ukawa na wafuasi wangapi na ni wangapi walishinda Ubunge? Kura zilizotangazwa kwamba Lowasa alipata ni zaidi ya 6milioni,nambie ni lini mgombea wa upinzani aliwahi para hata nusu yake.Lipumba na Slaa 2010 walipata ngapi? Hata alipogombea Lissu 2020 alipata ngapi? Mnajidanganya hapa eti Lowasa alipunguzia nguvu ukawa bila facts zozote.
 
Huna point wewe umekaa kubwabwaja tu,hivi nikuulize 2020 kulikuwa na uchaguzi kweli?? Muwe mnajiuliza maswali na kujitafakari je vitu mnavyofanya ni halali kwa nchi yenye ustaarabu.Uhuru wenyewe hatukupata kwa vita lakini kwa nini uchaguzi uwe vita???Lowasa hana sifa ya kukipandisha chama chochote kile,mbona wenzie wenye akili wameanzisha vyama lakini yeye ameshindwa ,yule mzee ni tamaaa tu zinazomsumbua.Halafu hizo takwimu zako hazitusaidii hata kidogo.
Ungekosoa Kwa hekma ungepungukiwa nini? Kama Lowasa hakuwa na nguvu ni nini kilichotokea Dodoma kwenye mikutano ya CCM? Hadi Majaliwa aliimba ana Imani na Lowasa,Lowasa alikuja ukawa na wafuasi wangapi na ni wangapi walishinda Ubunge? Kura zilizotangazwa kwamba Lowasa alipata ni zaidi ya 6milioni,nambie ni lini mgombea wa upinzani aliwahi para hata nusu yake.Lipumba na Slaa 2010 walipata ngapi? Hata alipogombea Lissu 2020 alipata ngapi? Mnajidanganya hapa eti Lowasa alipunguzia nguvu ukawa bila facts zozote.
 
Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto?

Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?

View attachment 2182343
Anamaana yake wenye kumjua mtu asemacho
 
Back
Top Bottom