Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Si kweli. Lowassa ndiye aliyekuwa na nguvu that time. Ukawa kama Ukawa akina Slaa na Lipumba wasingeweza kuwa na ile nguvu. Ile nguvu haitakuja tokea tena mpaka miaka 30 ipite. Watu walimpenda Lowassa na walimwamini. Serikali isingeruhusu achukue Urais.Lakini nadhani kazungumza ukweli.
Na kama Sakaya alivyosema alipokuwa akifanya Mahojiano na Wasafi Tv
Kwamba , Kosa Yule Mzee Mwenye Mvi kujiunga UKAWA.... 2015 kuivuruga , UKAWA pengine saivi Nchi ingekuwa Mikononi mwa Lipumba au Slaa😂😂😂😂
Muwe basi mnatumia akili hata kidogo.Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto?
Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?
View attachment 2182343
Tatizo lako thinking capacity ipo chini sana ila unajitia ujuajiKama anakiri waliingia kwenye mashindano wakiwa dhaifu ni dhahiri ushindi walioupata haukuwa halali.
Katiba mbovu tuliyonayo inawafanya CCM wasijali sana kuhusu umuhimu wa kuwa karibu na wananchi.
Hii Katiba mbovu inawapa ujeuri na uhuru wa kufanya chochote wakijua hata kwenye uchaguzi watashinda hata isivyo halali, tena bila kujali kama mgombea wao ni dhaifu.
Katiba Mpya ni muhimu sana, hasa ile rasimu ya Warioba ili kutuondolea huu utumwa wakuwekewa viongozi na Katiba [Tume ya Uchaguzi na muundo wake] badala ya kura za watanzania.
Wassira yuko sahihi, Wassira anajua zaidi ya wewe vinavyoendelea nyuma ya pazia wakati wa uchaguzi, Wassira anajua kuwa CCM hushinda chaguzi kwa hisani ya dola. Wassira anajua na anauhakika kuwa Mrema alimshinda Mkapa kwenye uchaguzi wa Urais ndicko kisa cha matokeo kufutwa.Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto?
Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?
View attachment 2182343
Mwaka 2015 ilikuwa Magufuli v Ukawa,Ilikuwa aibu kuiuza CCMMaana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto?
Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?
View attachment 2182343
Ndio maana hata wakati wa kampeni Magufuli alijua kuwa watu walikuwa haipendi ccm na ndio maana alikuwa anasema “ Chagua Magufuli “ na sio chama chao!!Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Na hata sasa ndiko hicho chama kinakoelekea, kitarudi vile vile ya enzi za Kikwete.Ndio maana hata wakati wa kampeni Magufuli alijua kuwa watu walikuwa haipendi ccm na ndio maana alikuwa anasema “ Chagua Magufuli “ na sio chama chao!!
Na shangaa Hawa jamaa kumuchia Vasco Dagama kumrudisha Kinana huku wakijua fika kuwa ufisadi wa Kikwete ulifanya ccm inuke mbele ya wananchi!! Walikuwa mpaka wanaogopa kuvaa mashati yao ya kijani mitaani!