Stephen Wassira wewe siyo wa kumsema/ kumbagaza Kikwete namna hii. Umesahau Fadhila?

WAACHE UNAFIKI WASALITI HAO LIPUMBA KAGOMBEA MARA NGAPI huo URAIS?
 
Huwa nashangaa watanzania wasemao eti Lowasa aliivuruga ukawa.Lowasa aliongeza nguvu nyingi ukawa,walitaka kuiyumbisha ni hao wachumia tumbo,Mzee dokta wa Mihogo na propesa wa Buguruni lakini walishindwa.Ukawa ikibaki imara na kupigiwa kura nyingi na watanzania.Ukawa ilishinda ila haikutangazwa.CCM,polisi,time na serikali ya kikwete walifanya Mapinduzi haramu kote bara na visiwani.Viva Lowasa,Mbowe,late Maalim Seif ,Juma Dunia Haji,Tundu Lissu,John Mrema na wengine.
 
CCM inabebwa na vyombo vya dola plus kafara la moto
 
Ajamsema mtu kasema ukweli
 
Weee....umeenda nje ya mada kabisa. Unakuwa na mahaba mpaka mkewe anaweza kukutilia mashaka. Kikwete naye alipoona mambo magumu akamsukumia Magufuli (mzigo mzito mpe Mnyamwezi)
 
Hata mgogoro wa Kenya 2007-2008 alitupiwa Kikwete,Tezi dume akatupiwa Kikwete,masingle mother akina Vicky kamata alitupiwa yeye,najsikia hata Taleban katupiwa Kikwete.
Kesi na hatimaye kifungo cha Babu Seya na wanae.
 
Through out his reign Magufuli never spoke ill of Lowassa for two reasons: first he realized that it was Lowassa’s followers who facilitated his party’s presidential nomination. Secondly, he knew that Lowassa was robbed the presintial election although it was him who was declared the winner!!

Ccm watake wasitake ukweli machungu ndio huo, Lowassa alidhulumiwa Urais!
 
Huyu mzee ana akili za kiwehu wehu.
 
Akili hovyo hii,Lowasa ana ushawishi gani katika nchi hii kama siyo wizi na ufisadi,CHADEMA walikosea sana kumweka Lowasa kuwa mgombea wao wa uraisi,bora wangemweka Sumaye wangeonekana kuwa wana malengo chanya lakini kwa Lowasa walifeli sana,na wasijerudia mchezo huu hata siku moja ndiyo maana jiwe alijinyakulia sifa za kijinga baada ya kuona CHADEMA wanamkumbatia Lowasa.
 
Kwa taarifa yako Lowassa alienda cdm iliyokuwa na nguvu tayari. Lowassa angeenda TLP na kupata kura zile ndio ungeweza kumsifia. Kama Lowassa aliweza kupata kura 6m+ akiwa na miezi miwili, je aliipa cdm viti vingapi vya udiwani au ubunge alipokuwa na zaidi ya mwaka mmoja ndani ya cdm? Acheni kutaka kutoa sifa kwa mtu aliyekuta chakula mezani.
 
Kabisa boss, kila siku nasema cdm walifanya kosa la karne la kumpokea huyo mzee muhuni na kumpa ile nafasi adhimu. Mbowe alipaswa kujiuzulu uenyekiti kwa kosa lile, hasa wakati Lowassa aliporejea ccm baada ya muda mfupi.
 
Kama kusema ukweli ni kumdhalilisha hebu shauri ni uongo gani atumie ili asimdhalilishe?.
 
Kabisa boss, kila siku nasema cdm walifanya kosa la karne la kumpokea huyo mzee muhuni na kumpa ile nafasi adhimu. Mbowe alipaswa kujiuzulu uenyekiti kwa kosa lile, hasa wakati Lowassa aliporejea ccm baada ya muda mfupi.
Umeona eh! CCM wanapata nguvu bure ya kumpamba Lowasa kwa vile amerudi kwao,ningekuwa mimi Lowasa angepokelewa na kupewa nafasi ya kugombea ubunge au nafasi nyingine lakini si uraisi,hapo CHADEMA walikosea sana.
 
Hata magufuli alikuwa dhaifu
 
Wewe hujui kitu enzi zile UKAWA ilikuwa na nguvu na wawakilishi wake kama akina Mbowe,Slaa,Sugu,Lissu,Msigwa,Mnyika,Mdee,Bwege,Mbatia na yule jamaa wa Kigoma aliyepewa ukuu wa Mkoa wa Simiyu kwa kuibua hoja zilizowagusa Watanzania wengi na kuwa kipenzi cha watu,Lowassa kapata umaarufu tu kwa vile alijiunga na UKAWA.
 
1995 je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…