Stephen Wassira wewe siyo wa kumsema/ kumbagaza Kikwete namna hii. Umesahau Fadhila?

Ndio Ccm tangu wakati wa Kikwete hadi huu wa Samia haijawahi kuwa stable zaidi ya kutegemea nguvu za dola ili iendelee kuishi. Ukisema Ccm kisimame chama chenyewe bila msaada wa Serikali, utashangaa hakuna mwanachama hata mmoja aliyebaki hapo.
 
Ungekosoa Kwa hekma ungepungukiwa nini? Kama Lowasa hakuwa na nguvu ni nini kilichotokea Dodoma kwenye mikutano ya CCM? Hadi Majaliwa aliimba ana Imani na Lowasa,Lowasa alikuja ukawa na wafuasi wangapi na ni wangapi walishinda Ubunge? Kura zilizotangazwa kwamba Lowasa alipata ni zaidi ya 6milioni,nambie ni lini mgombea wa upinzani aliwahi para hata nusu yake.Lipumba na Slaa 2010 walipata ngapi? Hata alipogombea Lissu 2020 alipata ngapi? Mnajidanganya hapa eti Lowasa alipunguzia nguvu ukawa bila facts zozote.
 
Huna point wewe umekaa kubwabwaja tu,hivi nikuulize 2020 kulikuwa na uchaguzi kweli?? Muwe mnajiuliza maswali na kujitafakari je vitu mnavyofanya ni halali kwa nchi yenye ustaarabu.Uhuru wenyewe hatukupata kwa vita lakini kwa nini uchaguzi uwe vita???Lowasa hana sifa ya kukipandisha chama chochote kile,mbona wenzie wenye akili wameanzisha vyama lakini yeye ameshindwa ,yule mzee ni tamaaa tu zinazomsumbua.Halafu hizo takwimu zako hazitusaidii hata kidogo.
 
Anamaana yake wenye kumjua mtu asemacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…