Jambo Kubwa
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 225
- 395
Majina mengi ya Nyerere, ni baada ya yeye kuondoka, hizo sehemu ulizotaja kumepewa majina yeye Hayupo.Airport, barabara, bwawa, daraja, ukumbi, uwanja wa michezo, chuo cha siasa, shule, sgr, stendi nk nk vyote vina jina la nyerere.
Au ulikua hujui?
Yaani lile daraja la kigamboni lilikuwa linaitwa kigamoni bridge au nssf bridge lakini ghafla tu likabadilishwa eti nyerere, acheni chuki wote nj i viongozi
Mambo ya kijima kabisa, political boot
Our God must be crazy
SSH RAILWAY CORPORATIONKwanini na jina la shirika lisibadilishwe kabisa
ww ulitaka ijulikane kwa jina gan zaid ya jina la mkoa ? Mbona maswali mengine ya kipumbavu , sio wasafir wote wanajuwa locations tuache kushabikis upumbavuMwanzoni stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, ilikuwa inajulikana kwa jina Gani?
Hv kuwa mwanamke ndo kuunga mkono ujinga ? Hv unajuwa maana ya majina ya vituo? Majina ni msaada kwa abiria kujua yupo wapi?Kweli Adui wa Mwanamke ni Mwanamke mwenzie.
Na ndivyo ilivyo ni inchi ya wenyewe hii, kwani huoni uongozi hata wa wilaya na mikoa unavyozunguka humo kwa humo?Majina mengi ya Nyerere, ni baada ya yeye kuondoka, hizo sehemu ulizotaja kumepewa majina yeye Hayupo.
Wakati wa uongozi wake angekua na akili za kutukuzana na upambe kama hivi nchi hii ingeitwa Jamhuri ya Nyerere
Wa mama yakoUme reason kama upo uchi.
Thawabu isiyomsaidia yeye wala familia yake na hata hao waarab wakeAnapata thawabu