Huyo mtu aondoe hilo jina la nyerere basi ni aibu mtu asiye na akili kutumia jina la baba wa taifaView attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Huyo ni ndugu yake Nyerere Julius, walisaidiana kutuletea uhuru kutoka kwa mkoloniSteve Nyerere ni nani katika Nchi hii?
Mungu huko aliko hajui kama kuna nchi inaitwa Tanzaniaππππ Hii nchi ilipofikia ni kama Mungu ameamua kuihurumia tu , na nyie wote mnaoiombea acheni Mnapoteza muda wenu
Kabisa,[emoji23][emoji23][emoji23] Kweli maisha yamekuwa magumu Sana.
Umuhimu wa katiba mpya unazidi kuonekana kila uchaoView attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Huyu Tapeli?!Huyo ni ndugu yake Nyerere Julius, walisaidiana kutuletea uhuru kutoka kwa mkoloni