Huyo mtu aondoe hilo jina la nyerere basi ni aibu mtu asiye na akili kutumia jina la baba wa taifaView attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app