Steve Nyerere afanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu, amsifia kwa kuondoa tatizo la umeme, reli ya kisasa

Steve Nyerere afanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu, amsifia kwa kuondoa tatizo la umeme, reli ya kisasa

View attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Huyo mtu aondoe hilo jina la nyerere basi ni aibu mtu asiye na akili kutumia jina la baba wa taifa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Umuhimu wa katiba mpya unazidi kuonekana kila uchao
 
Sasa huyo tahira kuna anae msikiliza na kufata anachosema kweli 🤔🤔 kama yupo basi na yeye tahira mwendawazimu kama yeye tuu
 
Hivi nani anamtuma? Wanaomtuma wanadhani wanatengeneza kwa Rais Iła ukweli huyu jamaa anadhalilisha Chama, CCM ni nichama kikubwa ambacho kinawatu wakukisemea hata kama ana taasisi yake ya Mama ongea na Mwanae basi azungumzie vitu vinavyohusu taasisi yake, haya mambo yakuongelea vitu vikubwa ambavyo anauwezo navyo nikudharilidha CHAMA.
 
Anachambua nini anachokijua huyu bwege!
Anavyoongea hata ukimeambia achambue ustawi wa familia yake hawezi kamwe!
Kweli Tz ina manunda bin mapanya buku!
 
Back
Top Bottom