Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,912
- 3,276
Bunge limedhaifika hadi wahuni, walarambirambi wadangaji, wanahisi ndio sehemu inayowafaa kwa sasa.
Mwambieni Iringa siyo Mombasa......kama anatafuta waarabu aende Unguja huko watambeba.View attachment 1350166
Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu , ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali asili na utalii kuwatumia wasanii wa kibongo kwamba hawana uwezo wa kuvuta watalii .
Steve Nyerere ambaye rekodi yake ya kuhudhuria misiba na kulia misibani bado haijavunjwa amejipanga kisawasawa kugombea kupitia chama chake cha ccm .
Je Msigwa atapona ?
Anajua kimombo mtu hata hajui kirefu cha VIPDu ! Kumbe Harmonise hajui kusoma wala kuandika ! Lol, kwa hiyo nyimbo hua anakaririshwa ? Asee ! Na kale kakimombo sijui kajifunzaje ? Ka ! Sijui mesej mitandaoni nani anamuandikia na kumsomea? Sijaonaga lakini , hee ! Anyway kamkwanja kidogo anako alahamdulillah !
[emoji16][emoji16][emoji16]hata mimi nimeshangaa kwa kweli nyani haoni kunduleYaani mara hii tu wapinzani wameshasahau kuwa waliwahi kutuletea Kingwendu kama mgombea kwenye jimbo la Jafo.
Mbona waimba kwaya hamjitokezi jamanKinondoni alichukuwa fomu ila aliangukia pua kwenye kura za maoni .
Wakumbushe wamesahauYaani mara hii tu wapinzani wameshasahau kuwa waliwahi kutuletea Kingwendu kama mgombea kwenye jimbo la Jafo.
Ndo mana alishindwa vibaya mno kama atakavyo feli huyo mzee wa rambirambi!Yaani mara hii tu wapinzani wameshasahau kuwa waliwahi kutuletea Kingwendu kama mgombea kwenye jimbo la Jafo.
Hiyo sasa ni probability.Ndo mana alishindwa vibaya mno kama atakavyo feli huyo mzee wa rambirambi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wema sepenga akawa balozi wa kudumu wa ufipa mwenye mamlaka ya kufly to KIA.[emoji16][emoji16][emoji16]hata mimi nimeshangaa kwa kweli nyani haoni kundule
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua sayansi ni nini....wewe jamaa ni bwege mtozeni.Siasa ni sayansi.
Tulipomsikia tu Mchungaji Msigwa akilianzisha bungeni juu ya udhaifu wa kuwatumia wasanii uchwara kutangaza utalii wetu na mara Steve Melenge akakurupuka kujifanya anamshambulia Msigwa watu makini waligundua kuna mchezo unachezwa.
Steve kwa muda mrefu yuko kwenye biashara ya kuvuna kupitia siasa na hana ubunifu wowote ndio maana kajiegemeza kwenye jina la " marehemu" baba yao akina Makongoro.
Miongoni mwa waathirika wa biashara chafu za Steve ni Nape Nauye na sasa atafuata ustaadh Kigwa muda si mrefu.
Niwaonye tu wanaccm hapo Iringa mjini akina Kiponza, Chalamila na wengine msidanganyike na Steve yuko katika biashara na Mchungaji Msigwa.......... siasa ni sayansi na safari hii CCM hakuna fedha wala khanga za kuhonga wasanii uchwara wanawinda mafao ya wabunge wa upinzani.
Maendeleo hayana vyama!
Mwambieni Iringa siyo Mombasa......kama anatafuta waarabu aende Unguja huko watambeba.
CCM Iringa mjini hatutaki ujinga wa mpunga!