Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Acha umbumbumbu wewe

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kupigwa tumepigwa sana na tukihoji tunaambiwa haturuhusiwi kuhoji tuamini kila kitu. Mie yashanishinda...amri ya mungu niliyoielewa ni UPENDO. Mengine ya kwenye biblia yatanisamehe
Are you a female?
 
Aliishi kwa mamake,,kazi ya mamake ilikua ni kuuza mvinyo kwenye sherehe mfano harusi,birthday etc,mzee joseph alukua ameshafariki,hivyo alikua akimsaidia mamake kwa kazi hizo,mvinyo ukiisha ilikuwa jukumu lake kufuata magudulia ya mvinyo nyumbani
 
Quran tu ndo kitabu pekee kinachoeleweka na hakina shaka kabisa.
Tena Quran ndo imejaa uharo mtupu. Kwanza mnadai quran ilishushwa wakati bwana Mohamed ndo alikuwa akipandwa na mashetani anawahadithia wanaojua kuandika wao wanaandika.

Sasa je, ikiwa nabii wa Mwenyezi Mungu (Mohamed) alikuwa asiyejua kusoma na kuandika kabisa, Je! Muhammad aliweza vipi kudhibitisha kwamba wale ambao walikuwa wanaandika kile alichokuwa akiwaamuru walikuwa wakiandika maneno yake halisi, angewezaje kujua kama waandishi walikuwa hawaandiki tu chochote wanachotaka kuandika wao? Hii inatuonesha wazi kuwa quran iliandikwa na watu, tena bila kuwa na uhakika kama kinachoandikwa ndicho chenyewe. Mkome kuwadanganya watu quran imeshushwa.

Hivi vitabu vyote vya dini yaani biblia na quran ni wizi mtupu na ni kazi ya watu. Nitaendelea tu kuwachambulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…