Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

ni kweli mkuu, nashangaaga sana mtu unamuomba uthibitisho kama kweli quruan ni kitabu cha mungu yeye anakufungulia haya za hiyo hiyo quruan,.

dunia yenyewe hazitambui hizi dini,.
 
Quraan ni hekaya za Muhammad, sababu mara zote alipotenda kosa, ilishushwa aya kujustify makosa yake na wala sio kurekebisha au kumtaka atubu kama ambavyo ilifanyika kwa mitume na manabii wengine.
Labda nikupe hits moja kuu , quraan haijabadilishwa hata herufi toka ianzishwe , mtoto aliye hifadhi quraan wa nchi ya urusi au china ata soma ( sound ) sawa na mtoto aliye hifadhi quraan wa songea ina maana hii

Quraan = never got changed (permanent introduced ) wakati

Bible = changes due to leaders wishes that's there lot version which confused people
 
Huu uzi ukisoma ni hatari kwa afya ya dini, hauhitaj akili nyingi kudadavua mambo.
 
Sio kwel walizaa watoto watatu wengi hamfaham ilaa wa mwisho anaitwa SETH... Lakn inasemekana alikuwaa na watoto wa kike ambao kimsingi huwaaa hatuwahesabu ..na hao ndoo walikuja kuendeleza kizazi....but the rest is history
 
Sina muda wa kuchunguza vitabu, mimi huwa nasoma tu kisha naongeza na za kwangu na pia ushahidi wa kisayansi na wa historia.
Ila muda wa kuchunguza vitabu vingine unao?
 

Zaburi 82:6​

"Mimi nilisema kuwa nyinyi ni miungu; kwamba nyote ni watoto wa Mungu Mkuu!"

Kwa kweli kila nikisoma hapa sielewi kabisa maana ya Mungu!
 
1 Samuel 16:14-15

Tunapo kazana Pepo Toka Rudi kuzimu, Pepo anatoka anaenda mbinguni!!!
 
Ukisoma na Kuuelewa hata mstari mmoja wa Biblia unabariki. Na Biblia siyo ya kuisoma Kama gazeti , inahusisha tafakari .
 
Best comment.
 
Quran tu ndo kitabu pekee kinachoeleweka na hakina shaka
vipi Ile stori siku moja mtume wa Allah Alexander the great (ambaye Historia inasema alikuwa shoga Na mpagani) siku Moja aliwafungia watu nyuma ya ukuta.
wale watu taifa Zima wamefungwa ndani ya ukuta hapa hapa duniani na kila uchao wanajaribu kuubomoa huo ukuta ila wanashindwa wakilalala usiku Allah anakuja kuurudishia ukuuta.
halafu unaambiwa wana maumbile ya ajabu Na mmoja anaweza kuzaa watoto 1000 kwahyo kimahesabu kutoka kipindi cha Alexander the great watakuwa wameshatuzidi sisi binadamu Wingi watakuwa hata billion 100.


Sasaivi Dunia nzima tumeshaitembelea/navigate Na Kuna Google maps ila hata dalili Za taifa lililofungwa getikali hazionekani.
Halafu unaambiwa Hawa watu hawatatoka mpaka mwisho siku waakapochimba ukuta Na kusema Inshallah
 
Sasa hapo usichokielewa ni kipi mkuu. Kuna binadamu walioumbwa na kuna binadamu wametokana na nyani.

Walioumbwa walikuwa waafrika. Edeni ilikuwa maeneo ya East Afrika, Tanzania.

Wazungu na wachina wanatokana na nyani. Ndio maana wana akili nyingi. Kwa sababu evolution inaendelea.
 
Mega mind 💯💯
 
Sina muda wa kuchunguza vitabu, mimi huwa nasoma tu kisha naongeza na za kwangu na pia ushahidi wa kisayansi na wa historia.
So hauamini hata kua Mussa alipiga Fimbo bahari ikagawanyika ikafanya njia, ye akapita na wenzie??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…