Story za ujambazi wa jiwe Fatuma na utekaji mabasi katika mapori

Ningeshangaa kama sijaona uchangiaji wako kwenye ishu hizi
 
Itabd nkutafute uniandikie kitabu cha maisha yangu
Gentleman ๐Ÿ˜„ au hutaki stori za mabahariaaaa

Ova
njoo tu gentleman, ondoa shaka
historia sio jinai,

ntakusaidia kuandika kitabu cha historia ya maisha yako tangu umezaliwa, hivi ni Galapo ee?๐Ÿคฃ

Na ndugu yetu mdadavuzi wa lugha ya kiswahili Honi Signala na mwanagenzi Philipo Mwihava wa clauds Fm, watatusadia kuhariri lugha, na tutatoa kitabu cha maana sana nchini, na tutaona namna ya kukiingiza kwenye mitaala ya fasihi Tanzania ili wanafunzi hasa wa sekondari, wajifunze athari za ubandidu kwenye maisha yao, right ๐Ÿ’
 
Mkuu hao hawakuwa na fatuma mwenye makebo yake.
Fatuma mwenye minyama yake alikuwa akitumwa kwenye mlango ni ginya moja tu, bawaba zote changuchangu wazee wa kazi hawa hapa na mitochi yao mikali.
 
Sahv hakuna utekaji kumetulia na walivyotengeneza barabara ile pametulia mara ya mwisho nliendaga pale haneti kuna mpala viwanda

Ova
ooh,
that's very convincing development ingawa sipakumbuki but jina siwezi kulisahau coz hapo ndipo tuliposimama na kupata huduma za tiba na couciling baada ya kutekwa Mtungutu ๐Ÿ’
 
Bila kusahau pori la ushirombo
 
Mkuu hao hawakuwa na fatuma mwenye makebo yake.
Fatuma mwenye minyama yake alikuwa akitumwa kwenye mlango ni ginya moja tu, bawaba zote changuchangu wazee wa kazi hawa hapa na mitochi yao mikali.
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜„Fatuma akipiga hakosei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ