Huko majambazi konki kweri kweri na wana silaha nzitoMiaka ya kuelekea 2004-2005 kutokea Nyakakanzi, Kakonko hadi Kibondo palikua na askari wanajificha porini ili kudhibiti ujambazi na wakati huo wengine walikua wanapiga doria na chuma moja walikua wanaiita kimbuka 110 Defender ilikua na RPG kwajuu qudadadeqi hiyo njia nilikua napenda kuona wanyankazi wakipambania kivile... Sema nini pale mto Malagalasi wajomba waligingeshwa vyuma kinyama aiseeee
well done serikali sikivu ya CCM,Kipo kabla hujafika Chemba ukiwa unatoka Dodoma
Hahahaha ni hatari Gentleman, ndg zetu hawa Warangi wanapenda Vindege balaa, unakuta PC kali ya Kirangi inatafuna Videnge unajiuliza hii PC namna gani tena, mrangiwell done serikali sikivu ya CCM,
kuweka vituo vya polisi maeneo hatarishi kwa usalama wa magari na wapita njia kwa ujumla.
I hope gentleman ,
ni mwenyeji wa pande hizo kwenye vindege vya kuaanga 🤣
Nakumbuka Mwaka 2015 kama Mwezi wa pili hivi kabla ya Jiwe hajawa Rais.Bila kusahau pori la ushirombo
Ni hatari sana mkuuTukio jingine lilitokea Kahama kwenye mwaka 2010 ivi njia ya kweda Kakola - Geita.
Wale wanyarwanda siku ile waliotewa bwana wote waliuawa.
Ilikuwa hivi, wale majambazi walichojichanganya walifika site mapema kabla hapajawa giza, kuna sehemu walipaki gari yao kwenye kapori ka pale miembeni busoka kumbe bwana kuna mwana nchi ameusoma mchezo akawa ametoa taarifa kwa uongozi wa mtaa, na uongozi wa mtaa ukatoa taarifa polisi.
Kilichofanyika polisi walizuiya gari zinazotoka kakola zisivuke nyambura na gari zinazotoka kahama mjini zisivuke pale Manzese.
Polisi walichukua Fuso kama lakuzugia wakajifanya raia, walipofika sehemu ya tukio kama kawaida Wanyarwanda hawaapa, siku ile waliingia cha kike wote waliuawa.
Hatari ilikuwa ,hapo sijajua kama bado inaendelea ,ilikuwa lazima basi likikatiza hapo lazima ndani kuwe na askari escort wakiwa na magitaa.Miaka ya kuelekea 2004-2005 kutokea Nyakakanzi, Kakonko hadi Kibondo palikua na askari wanajificha porini ili kudhibiti ujambazi na wakati huo wengine walikua wanapiga doria na chuma moja walikua wanaiita kimbuka 110 Defender ilikua na RPG kwajuu qudadadeqi hiyo njia nilikua napenda kuona wanyankazi wakipambania kivile... Sema nini pale mto Malagalasi wajomba waligingeshwa vyuma kinyama aiseeee