Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

Nimependa hapo, ukutaka kuharibu kotekote...hahah maisha lazima tujifunze na makosa, sio mbaya sana.
Kabisa, najua kile chakula alikula kwa kuvumilia tu ila mimi alinifurahia. Ndiyo inavyotakiwa!
 
Nikila pombe nachakata kwa hamu tu , nikiwa wida nafanya meditation sana hivyo kuchakata ni starehe yangu ya mwisho kabisa pale ninapokosa cha kufanya.
Safi, kila mtu ana chake kinachomfurahisha
 
Mbilinge mbilinge kww mkwaju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…