Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Sasa kupewa taarifa na mbususu wapi na wapi jirani? Ye alinitafuta anirushe roho anaolewa ila mimi nikamzimia juu kwa juu.
Kwahiyo kumbe kiroho kilikuwa kinauma.??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ww ungemjibu Ahsante kwa taarifa na hongera, ndoa njema.!
Sasa maneno ya mmeo anajua km una namba yangu umeyatoa wapi??
Mbona hujamuuliza km β€œmumeo ana taarifa uliwahi kubanduliwa na mimi” hujamuuliza??
 
waache kukataa tamaa ya kuolewa au kuzaa na kuanza kusagana au kujiuza.

Kwa muda muafaka na wakati wake ufaao bila kuchelewa, Mungu atawabariki ...
 
. Hapa inaonyesha kuwa aliolewa ili kutimiza maana ya ndoa[ jamaa alikuwa hapendwi ] , na si moyo wake ulimtuma kufanya masuala ya ndoa.

. Na ungejaribu kumuomba 6*6, ingekuwa mapema sana πŸ˜‘πŸ˜‘.
 
Ewe mwanamke Kama ulimsaliti mtu na akakuacha kwa amani usiwe kero kwenye maisha yake maana wewe ndo ulikua msaliti.
πŸ™‚πŸ™‚, hapo ujue anataka wote mkose, pia anajilaumu kile alicho kifanya,, yaweza kuwa alifanya kwa mkumbo wa marafiki zake, bila kupembua athari za maisha ya baadae.
 
Nilifikia huko kwa sababu alianza kuhoji kwann nilifuta namba yake alipozidi ili kumzima ndio nikamuhoji hilo la mumewe ili atulize wenge.

Naheshimu mahusiano ya watu hasa yakishafikia hatua fulani, nilifanya vile kwa sababu namjua alishaapa kutokunitafuta na namba anablock lakin akikaa ananitafuta.

Kuna siku kanitafuta ananiambia amevaa Tshirt aliyoichukua kwangu, nikabaki nashangaa 😁

Mimi sinaga kinyongo na mtu, hata wabaya wangu nawaombea mema kikubwa wapate mahitaji ya mioyo yao na waridhike.
 
. Hapa inaonyesha kuwa aliolewa ili kutimiza maana ya ndoa[ jamaa alikuwa hapendwi ] , na si moyo wake ulimtuma kufanya masuala ya ndoa.

. Na ungejaribu kumuomba 6*6, ingekuwa mapema sana πŸ˜‘πŸ˜‘.
Mtu akishaendekeza mawasiliano na ukaribu na ex basi jua fika bado kuna anachokihitaji. Binafsi nisijue tu ke wangu anawasiliana na ex wake, nikijua namuweka kwenye kundi la mafurushi, na mafurushi huwa yanavurumishwa mbali.
 
Akija gheto utamfukuza?? 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…