β’ π¬π¬π¬, Wapo secret sana hao watu, mpaka ujue uwakamate ni safari ndefu inayo hitaji undercover.Mtu akishaendekeza mawasiliano na ukaribu na ex basi jua fika bado kuna anachokihitaji. Binafsi nisijue tu ke wangu anawasiliana na ex wake, nikijua namuweka kwenye kundi la mafurushi, na mafurushi huwa yanavurumishwa mbali.
nina mifano halisi kabisa,ππ, haya mambo sijui kwa nini huwa yanajitokeza kwenye jamii, π€. Tuseme ni utafutaji au ni hulka ya mtu? π
Wanawake wajitahidi sana wasiwe single maza. Soko lao la kuolewa ni gumu sana
Kwa kumalizia wajitahidi kabla ya 27 wawe wameolewa. Kuanzia 27+ huyo ni msimbe
Nao kama single maza soko la kuolewa ni gumu sana
USingle maza huazia miaka 14,15,16-20 hivi, hapa damu huwa imechemka sana, kama hakuna usimamizi ulio tukuka basi ni ngumu sana kukwepa hicho kikomo,Wanawake wajitahidi sana wasiwe single maza. Soko lao la kuolewa ni gumu sana.
Kuolewa ni hatua ya bahati kwa kila mwanamke, ingawa wengine huchezea bahati, bahati ikisha pita basi nao huamka kutafuta hitaji la kuolewa.Kwa kumalizia wajitahidi kabla ya 27 wawe wameolewa. Kuanzia 27+ huyo ni msimbe
Mabibi na mishangazi ya kuanzia 27+ tunayo mitaani yanajuta nafasi yalizopoteza wakati wakiwa kwenye peak ya urembo wao wakisubiri wenye vibundaUSingle maza huazia miaka 14,15,16-20 hivi, hapa damu huwa imechemka sana, kama hakuna usimamizi ulio tukuka basi ni ngumu sana kukwepa hicho kikomo,
Kuolewa ni hatua ya bahati kwa kila mwanamke, ingawa wengine huchezea bahati, bahati ikisha pita basi nao huamka kutafuta hitaji la kuolewa.
Bila kulipia hupati channel usisahau hilo, wamesha tuharibia hadi hawa mademu zetu wa Kijijini ambao tulikua tunapata free to air channel, wakienda mjini wakirudi bila kulipia hupati matangazoπ, Usitangulize hela Kwanza mkuu,.
Sijawahi kwenda huko ila atanipeleka akijichanganya! Atarogeka vizuri tu π€£Usije ukamrogaπ
Wewe lamomy unaminyege mpaka basi nimekushtukia, bahati mbaya hujapata wakukushughulikia akakupelekea moto mpaka mripuke woteKwahiyo kumbe kiroho kilikuwa kinauma.??[emoji23][emoji23][emoji23]
Ww ungemjibu Ahsante kwa taarifa na hongera, ndoa njema.!
Sasa maneno ya mmeo anajua km una namba yangu umeyatoa wapi??
Mbona hujamuuliza km βmumeo ana taarifa uliwahi kubanduliwa na mimiβ hujamuuliza??
β’ Points zako zimeshiba mkuu, ingawa bado naona sababu hizo wazichukulia maamuzi mapema kabla ya kufikilia vizuri, kuhusu maisha.nina mifano halisi kabisa,
kuna pisi mahali fulani ni kali mno kwa sura and for sure pisi zimekamilika kila idara, ni kali sana.....
pisi nyingine zilivurugana kwenye ndoa zikatemana na wenzi wao na wengine hawako kwenye ndoa na ni pisi pisi kweli....
huwez amini mambo matatu yamewatumbikiza kwenye kusagana na kujiuza....
1.umri umeenda, mahitaji ya kimwili na vichocheo vyake na hali ya maisha( life reality forces) yamewaforce kujoin hiyo uchafu...
2. Hasira za kuachwa, kukata tamaa ya ukoelewa au kuzaa wanahisi hawapendeki tena na yeyote...
3. Maradhi mathalani umeme.
ππ, hapo umeeleweka mkuu, maana kichwani inakuwa zimeaki hasira na kisasi, kwa kile alicho kifanya kukuzunguza wakati huo wa utafutaji,Hakuna mwanaume anamuangalia msichana nywele zake bandia, kucha wala kope ndo akampenda
Kama mwanaume kakupenda na wewe umempenda usimzungushe sana . Tuna tabia upendo unakata ghafla kinachobaki ni kisasi cha kukupata ili kufidia muda aliopoteza
Ukitaka mwanaume akupe hela mara nyingi mara moja moja jiongeze
Nauli jilipie mara moja moja ukienda kwake, mlipie bill mara moja moja mkitoka out
Mwanaume ashazoea wanawake ambao hawajiongezi ukijiongeza kidogo tu huwa tunakutoa kwenye kundi la walewale tunakuweka kwenye βpengine mama watoto tuu beeβ
Trust meπ
tunamwaga pesa sanaa ila tamaa za mwanzo ndo zinasakosesha upate hela toka kwa mwanaume
, maisha yanaenda speed sana 27+ kwa mwanamke wa sasa kama hajaolewa tayari ndo basi tena,Mabibi na mishangazi ya kuanzia 27+ tunayo mitaani yanajuta nafasi yalizopoteza wakati wakiwa kwenye peak ya urembo wao wakisubiri wenye vibunda
Imeenda hiyo too late, maisha yanaenda speed sana 27+ kwa mwanamke wa sasa kama hajaolewa tayari ndo basi tena,
Yaani tena wa hivyo ndio sio waoaji,wanapaswa kuogopwa kama ukomaπ€π€, sema wanaume hutumia gear ya nitakuoa, basi mwanamke akisikia hivyo huingia mazima kwenye uhusiano,
Mbona inaonekana ww ndo una hiyo migenye mkuu.!!Wewe lamomy unaminyege mpaka basi nimekushtukia, bahati mbaya hujapata wakukushughulikia akakupelekea moto mpaka mripuke wote
Sema ni wabishi balaa, unaweza ukamshauri vizuri kabisa, ila akienda tu salon kusuka,, analudi na mawazo mengine kabisa.
Unafunda tena, usichoke mkuu
πππ, sasa hivi vijijini kumechangamka sana, hizo free channel zipo blocked. Labda upate mzee unaweza pata airtime ya bure.Bila kulipia hupati channel usisahau hilo, wamesha tuharibia hadi hawa mademu zetu wa Kijijini ambao tulikua tunapata free to air channel, wakienda mjini wakirudi bila kulipia hupati matangazo
hiyo ni kwa uchache sana mkuu, mambo ni mazito ajabu ukiona sababu zingineπβ’ Points zako zimeshiba mkuu, ingawa bado naona sababu hizo wazichukulia maamuzi mapema kabla ya kufikilia vizuri, kuhusu maisha.
β’ kuachika, kutokuolewa na umeme sioni sababu ya kumpelekea mtu ajiunge na hayo mambo.