Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Mimi nawashauri wajaribu kusoma saikolojia ya wanaume nini wanataka, siwezi kuwaambia hapa hiyo ni home work yenu, wajitahidi kujibrand kuendana na matakwa yetu, vyenginevyo watapelekewa moto mpaka waripuke kama bomu, ni vigumu kwa mwanaume kujibrand kwa ajili ya mwanamke kwa sababu wanawake hawafanani tabia, kitu wanachofanana wanawake ni kutokufanana, ukija kwa mwanaume sote tuko sawa tunavyowaza kuhusu wanawake.
 
Wazo Zuri mkuu, asiyeelewa hapa shauri yake, na ikumbukwe tu, mwanamke akisha tafunwa na wanaume zaidi ya watatu ambao tayari wanajuana, taarifa husambaa sana kwa wanaume wengine nao watakuja kuchovya hivyo hivyo na kusepa.
 
Back
Top Bottom