Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sina na sijaoaUmeoa au unamkee??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina na sijaoaUmeoa au unamkee??
Nani kakupa nguvu hii 🤣🤣🤣Sina na sijaoa
Nguvu gani?Nani kakupa nguvu hii 🤣🤣🤣
Ya kutoA ushauriNguvu gani?
Ni ushauri tuYa kutoA ushauri
Hujaona mwenzio katangaza sifa??Ni ushauri tu
yawezekana nmeoaHujaona mwenzio katangaza sifa??
Eh wa humu au wa njeeyawezekana nmeoa
Wa humu humu wa nje wakaz ganiEh wa humu au wa njee
I agree with youWaambie wasikubali kuolewa na Mwanaume asiye na Upendo wa Kristo Yesu moyoni. Kulipuuza hili ni kucheza kamari mbaya sana kwa mustakabali wa maisha yao!
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Wanakuchovya chovya tu hao hawajui kukushughulikia trust meMbona inaonekana ww ndo una hiyo migenye mkuu.!!
Mi nikose wa kunishughulikia?? Wanaume wote waliojaa humu?? Mtaani? Kweli??
Hizo dharau sasa.!!
Nyafwili sema wewe kweli au si kweli?Aiseeeee, [emoji119][emoji119],
Sawa,imekaa poa sana hiyoUnaonaje, hilo suala umuachie mama ake,,?
Wazo Zuri mkuu, asiyeelewa hapa shauri yake, na ikumbukwe tu, mwanamke akisha tafunwa na wanaume zaidi ya watatu ambao tayari wanajuana, taarifa husambaa sana kwa wanaume wengine nao watakuja kuchovya hivyo hivyo na kusepa.Mimi nawashauri wajaribu kusoma saikolojia ya wanaume nini wanataka, siwezi kuwaambia hapa hiyo ni home work yenu, wajitahidi kujibrand kuendana na matakwa yetu, vyenginevyo watapelekewa moto mpaka waripuke kama bomu, ni vigumu kwa mwanaume kujibrand kwa ajili ya mwanamke kwa sababu wanawake hawafanani tabia, kitu wanachofanana wanawake ni kutokufanana, ukija kwa mwanaume sote tuko sawa tunavyowaza kuhusu wanawake.