Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

Very simple and clear
 
Never never
 
kabla mwanetu Hakimi hajapata ile Scandal ya ubakaji

Tuiweke kando maana sitaki kutake sides pia!
Halafu mwanamke ni opportunist
Issue ya ubakaji ndio kwanza tuhuma.
Kabla hata ya uamuzi wa mahakama kuhusu case ya ubakaji mke kashadai talaka. Means anakuhukumu kwamba umefanya hicho kitendo.
Kesi ilivuokuwa public tuu dem kafuta picha zote walizopiga na Hakimi kwenye social networks na karud zake Madrid wakati nyumba wanayokaa ipo Paris.

Mwanamke alikuwa anasubiri tuu muda atake opportunity.
 
"Dawa ni kuzalisha tu kam MONDI kila mtu akae kwao swala oa kufua DOBI wapo ,swala la kula SHISHI FOOD yupo , usafi wa nyumba wapo wanao toa huduma hiyo

Swala lannuegw MALAYA wapo mnakutana lodge mnaacha huko imeisha hiyo ili nizeeke kwa amani"

Me tumekuwa mbogo kweli kweli [emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Maamuzi ya mahakama yaheshimiwe na kusimama!
 
πŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈ

βš–οΈβš–οΈ βš–οΈβš–οΈβš–οΈβš–οΈβš–οΈβš–οΈβš–οΈβš–οΈβš–οΈβš–οΈβš–οΈβš–οΈ

πŸ“œπŸ“œπŸ“œπŸ“œπŸ“œπŸ“œπŸ“œπŸ“œπŸ“œπŸ“œπŸ“œπŸ“œπŸ“œπŸ“œ

This is not right at all.. Yes, things may have happened that leads them to divorce. But she is a human being, who sacrificed 2years of her life with Hakimi. She gave him something everyone human being needs, companionship. She deserves to leave with something.

Not even 50/50 even 25/50
 
Mali zilihamishwa kabla ya Ndoa? Kama ndio hakuna kosa alilolifanya Hakimi, kama ndio linaweza kuwa kosa kuhamisha mali ya ndoa bila kumtaarifu mwenza.
Mali zimehamishiwa nchi gani? Kama zipo nchi waliyoombeana talaka mahakama inaweza kuwa na Nguvu, ila vipi kama zipo Morroco? Hiyo mahakama itakuwa na hiyo Nguvu?
Mali zilihamishwa kihalali bila kukwepa kodi? Kama zilikuwa taxed hakuna Fraud, ila kama zilikwepa kodi shida ipo.
 
Swala ni kwamba hata kwetu ukienda kichwa kichwa kudai taraka unaweza ambulia patupu vilevile


kuna kesi ya Maria Tumbo Vs Harrold Tumbo ya Tanzania dada aliomba tataka akapewa vizuri tuu ila kwenye mgao wa mali akanyimwa kila kitu...

kwetu tunaangalia ulichangia kitu gani kwenye hizo mali unazotaka mgawane
 
Vyovyote ulivyowaza au kama unavyoeleza "reasoning",ni kwamba tabia ya wanawake kuolewa halafu kuishi na waume zao kama wanawavizia kupata maslahi makubwa haifai.Alipwe au asilipwe,wanawake wa sampuli hiyo ni takataka tu.Vijana wataogopa kuoa kwa tabia zao za kishenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…