Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Taja hata wawili hao wabara wanaomiliki ardhi huko Zanzibar, Mwinyi alisema waziwazi kuwa anayeruhusiwa kumiliki ardhi ni mzanzibar pekee, sasa wewe unatudanganya nini? Askofu naye hajawahi kufika Zanzibar? shame on you
Yaani kwa mtanzania bara kununua ardhi ni shida sana, yani hata uwe mwislamu bado ugumu uko pale pale, mnaweza kuandikishana vizuri kabisa a mzanzibari anaeuza lakini sasa huko kwenye serikali kupitisha hayo mauzo tegemea maumivu
 
Mkoloni alikua muingereza,kabla ya hapo mjerumani,elimu huna unaharisha harisha tu..hayo mapinduzi yenyewe na muungano ni muingereza na usa

Muingereza na usa wameingiaje au ndo kuwasingizia kila kitu wao. Mbona umekua na jazba,matusi na kashfa hizi na dalili za mtu alieshindwa hoja. Embu nenda kauze urojo na kacholi kobazi wewe
 
Yaani kwa mtanzania bara kununua ardhi ni shida sana, yani hata uwe mwislamu bado ugumu uko pale pale, mnaweza kuandikishana vizuri kabisa a mzanzibari anaeuza lakini sasa huko kwenye serikali kupitisha hayo mauzo tegemea maumivu
Ni wabaguzi sn na wadini
 
Muingereza na usa wameingiaje au ndo kuwasingizia kila kitu wao. Mbona umekua na jazba,matusi na kashfa hizi na dalili za mtu alieshindwa hoja. Embu nenda kauze urojo na kacholi kobazi wewe
Kama hujui role ya uingereza kwenye siasa za zenji Basi u mbumbumbu...yesu alivaa Sana kobazi,zikimvuka pindi akikung'utwa mijeledi golgota kuelekea msalabani
 
Na kama haitoshi nani ving'ang'anizi wa Muungano ambao mpaka ndani ya Makanisa eti magaidi watapita Zanzibar kuingia Tanganyika,hivi alikuwa hajui waEthiopia wanaokamatia katikati ya Nchi(Dodoma) au hata Pwani na Morogoro wamepitia wapi ?

Na kila siku waZenji wanaimba ...Tunataka Inchi yetu sasa tumechokaa... !
 
Ni wabaguzi sn na wadini
Kama ubaguzi nitajie Mkuu wa Jeshi (JWTZ mmoja) tu kutoka Zanzibar na kama hio haitoshi basi hata Mkuuwa Jeshi la Polisi kama nayo ngumu japo Mgambo Mkuu wao awe ametoka Zanzibar..!

Nitasubiri sana jawabu .
 
Kwanini atoke Zanzibar na wakati siyo nchi yenu? mbona mmejazana bungeni na kwenye uwaziri?
 
Kama hujui role ya uingereza kwenye siasa za zenji Basi u mbumbumbu...yesu alivaa Sana kobazi,zikimvuka pindi akikung'utwa mijeledi golgota kuelekea msalabani

Ahhhhh mbona mudi alikua anashindia tende jangwani huku kavaa mashuka na vipedo akiwalaghai kwa adithi za uongo ile ale tende zaidi.
 
Back
Top Bottom