Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hao ni wazanzibar tangu mwanzoUkoo wa Isack Sepetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni wazanzibar tangu mwanzoUkoo wa Isack Sepetu.
Kawaambie wamasai waliozagaa kule Nungwi wao na vizazi vyao na walioa wazungu wameamua kurudi Arusha,muulize Mmsai yeyote yule mke wa kizungu amempatia wapi ?Tena uvunjwe haraka mrudi kwenu tumewachoka
Hoja ni mkiristo gani na sio nani amekuja mwanzo. Hata ukiongezea Je ni machogo au sio machogo ? Utajikuta na jawabu unalohitajia.Hao ni wazanzibar tangu mwanzo
Yaani kwa mtanzania bara kununua ardhi ni shida sana, yani hata uwe mwislamu bado ugumu uko pale pale, mnaweza kuandikishana vizuri kabisa a mzanzibari anaeuza lakini sasa huko kwenye serikali kupitisha hayo mauzo tegemea maumivuTaja hata wawili hao wabara wanaomiliki ardhi huko Zanzibar, Mwinyi alisema waziwazi kuwa anayeruhusiwa kumiliki ardhi ni mzanzibar pekee, sasa wewe unatudanganya nini? Askofu naye hajawahi kufika Zanzibar? shame on you
Mkoloni alikua muingereza,kabla ya hapo mjerumani,elimu huna unaharisha harisha tu..hayo mapinduzi yenyewe na muungano ni muingereza na usa
Ukweli simpendi mzanzibar yoyote nawachukia sn hawana faida kwetu
Kwa hiyo Zanzibar ni Ulaya?Kawaambie wamasai waliozagaa kule Nungwi wao na vizazi vyao na walioa wazungu wameamua kurudi Arusha,muulize Mmsai yeyote yule mke wa kizungu amempatia wapi ?
Kwa hiyo Zanzibar ni Ulaya?
Kwani kuitwa Isack lazima uwe mkristo?Hoja ni mkiristo gani na sio nani amekuja mwanzo. Hata ukiongezea Je ni machogo au sio machogo ? Utajikuta na jawabu unalohitajia.
Ni wabaguzi sn na wadiniYaani kwa mtanzania bara kununua ardhi ni shida sana, yani hata uwe mwislamu bado ugumu uko pale pale, mnaweza kuandikishana vizuri kabisa a mzanzibari anaeuza lakini sasa huko kwenye serikali kupitisha hayo mauzo tegemea maumivu
Kama hujui role ya uingereza kwenye siasa za zenji Basi u mbumbumbu...yesu alivaa Sana kobazi,zikimvuka pindi akikung'utwa mijeledi golgota kuelekea msalabaniMuingereza na usa wameingiaje au ndo kuwasingizia kila kitu wao. Mbona umekua na jazba,matusi na kashfa hizi na dalili za mtu alieshindwa hoja. Embu nenda kauze urojo na kacholi kobazi wewe
labda awe na kilema cha akili, nani anataka kuolewa na majitu mavivu kama nyie?Mdogo wako ananipenda sna na anatamn kuzaa na mimi [emoji23][emoji23]
Kama ubaguzi nitajie Mkuu wa Jeshi (JWTZ mmoja) tu kutoka Zanzibar na kama hio haitoshi basi hata Mkuuwa Jeshi la Polisi kama nayo ngumu japo Mgambo Mkuu wao awe ametoka Zanzibar..!Ni wabaguzi sn na wadini
Yaani ni shida!Huwa najiuliza Nyerere alikuwa na maana gani kung'ang'ania muungano fake huu?
Haya bhanaSometimes kumbe una akili
Kwanini atoke Zanzibar na wakati siyo nchi yenu? mbona mmejazana bungeni na kwenye uwaziri?Kama ubaguzi nitajie Mkuu wa Jeshi (JWTZ mmoja) tu kutoka Zanzibar na kama hio haitoshi basi hata Mkuuwa Jeshi la Polisi kama nayo ngumu japo Mgambo Mkuu wao awe ametoka Zanzibar..!
Nitasubiri sana jawabu .
Tuukatae hatuutakiYaani ni shida!
labda awe na kilema cha akili, nani anataka kuolewa na majitu mavivu kama nyie?
Kama hujui role ya uingereza kwenye siasa za zenji Basi u mbumbumbu...yesu alivaa Sana kobazi,zikimvuka pindi akikung'utwa mijeledi golgota kuelekea msalabani