Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

Wapo wengi tu hata mapadri wanafirimba watoto mashuleni kwa kasi ya 5g, ndio maana papa akaona waamue kuruhusu.
Lakini wafanyane hukohuko makanisani, wasituletee huu ushenzi kwenye jamii zetu.
Pita zenji na madrasa uone wakina muddy wanavyo kamuana.
 
Uhuru wenyewe mnaotupigia kelele ni huu wakuomba kwa mdomo na kalamu ? labda kama wangepigana kama mau mau kule kenya wangekuwa na cha kutuambia after all ilikuwa ni hasara bora mkoloni angekaa kidogo akanyosha mambo maana toka uhuru bado tunacheza makida makida..
 
Sahihi kabisa
 
Mbussi,
Kuna picha maarufu ya Nyerere na Baraza la Wazee wa TANU.
Picha hii haikuwapo popote.

Picha hii aliipata kwangu na akaipenda na ndiyo sababu ya yeye kuniomba nimtafutie picha ya Nyerere na Maaskofu.

Mimi humtania namwambia labda nikupe ya kuchora.

Najua anajua hii picha ya Nyerere na Maaskofu haipo lakini hupenda kunicheza shere.

Wala si suala la unafiki bali maskhara kati ya marafiki wawili.

Ukweli ni kuwa Waislam mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika ni wa pekee sana.

Hii ndiyo sababu iliyonisukuma mimi kuandika historia hii.
Huu si udini.

Mchango wa Wakikuyu na Mau Mau katika kupigania uhuru wa Kenya ni wa pekee.

Kuandika historia ya Wakikuyu na mchango wao katika uhuru wa Kenya si ukabila.

View attachment 2888466
 
Mzee wangu una udini haswa.
Kwanini hujazungumzia katika muktadha wa faida nchi itakazopata kuhusu huo uwekezaji badala yake umeelezea dini dini dini tupu.
 
Ingawa huu uzi unanuka udini ila kuna ukweli fulani. TEC na CHADEMA walijimaliza kabisa... CHADEMA ndo ilijitumbukiza mazima kwenye tope la kuonekana ni chama cha kikristo. Sakata la bandari limeiharibia zaidi CHADEMA
 
Mzee wangu una udini haswa.
Kwanini hujazungumzia katika muktadha wa faida nchi itakazopata kuhusu huo uwekezaji badala yake umeelezea dini dini dini tupu.
Vishu...
Mwaka wa 1968 EAMWS ilipigwa marufuku na serikali sababu ilikuwa inajenga Chuo Kikuu.

Hapa faida kubwa ingepatikana.
Lakini faida hii ilikuwa si kwao.

Katika miaka ya 1970 OIC ikataka kujenga Chuo Kikuu Tanzania serikali ikakataa kuto kibali.

Faida ingepatikana lakini si kwao.
Vipi hapa huoni chembelecho dini, dini, dini?
 
Bwana Said, kwa umri wako ungekuwa mwalimu bora ambae ungetufundisha aina ya siasa ya nchi yetu kwa miaka uliyoitaja. Ni kipindi ambacho makanisa hasa ya kikatoliki yalinyang'anywa taasisi za huduma kama vile shule, hospitali nk na kuzifanya kuwa mali ya umma. Hopitali kwa mfano; Bugando, Muhimbili, na shule nyingi kongwe kwa uchache zilimilikiwa na makanisa lakini zilitaifishwa. Na baada ya kutaifishwa ziliendeshwa na serikali kwa kutoa huduma bila kubagua dini.

Unapolielezea hili jambo ktk mlengo wa udini unataka kutangazia umma kwamba Nyerere alikuwa mdini na alizuia vyuo vikuu vya Kiislamu visijengwe? Hiyo kama kweli ilitokea ilikuwa ni sera ya nchi kwa wakati huo. Ukweli unaujua lakini kwasababu ya udini wako, huo ukweli huwezi kuusema.

Labda nikuulize swali chokonozi. Waislam (Waarabu) kama ni wema kiasi hicho, walikuwa watu wa kwanza kuitawala pwani ya Africa Mashariki wakiendesha biashara ya utumwa. Je, ni shule au hospitali ngapi walizozijenga kwa faida ya wananchi wa maeneo hayo?
 
Huijui historia ya Elimu Pwani ya Afrika ya Mashariki.

Kuna paper ya Ishumi Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam bahati mbaya sikumbuki jina lakini hii ni paper kutoka Department of Education.

Fanya bidii kuipata uisome.

Hayo mengine nimekuwa kimya kwa kutambua tatizo ulilonalo.
 
Binafsi bwana Said, awali nilizipenda sana makala zako na kweli nilikuwa na hamu ya kutembea maktaba yako, lakini baada ya kuona umetawaliwa na chuki za kidini hakika yake nilivunjika moyo.

Ishumi alikuwa lecturer UDSM nadhani kitivo cha Elimu kama sikosehi, sidhani kama kuna haja ya kwenda kusoma paper yake kwa swali dogo tu nililokuuliza. Ushauri wangu kwako bwana Saidi, ukiondoa kasumba ya udini na ukaandika makala objectively bila kuonyesha elements za udini udini, utapata wasomaji wengi sana.
 
Mohamed Said
Ningalikushauri ufute hilo bandiko lakini pia natambua haki yako ya kutoa maoni.

Nafasi yako katika Jamii ni kubwa kiasi cha ''kuteka'' uhuru wako wa maoni na kubebeshwa taswira ya jamii.
wewe ni nuts yaani umeandika uzi kuhusu Zanzibar na Mungano halafu unajijibu mwenyewe , hata sijui umekuja hapa kufanya nini . Si uanze kufuta lile bandiko lako kwanza
 
Mimi ni Muislam typically ila ni ujinga wa hali ya juu kusema kwamba bandari kupewa Mwarabu ni ushindi kwa Waislamu,yani huo ushindi upo vipi mzee wangu mbona me sielewi?? Utajiri watakao pata hapo zitachangia nini kwa Waislamu wa Tanzania zaidi kupelekwa kwao huko UAE

Halafu uache kuijumuisha CHADEMA na mambo yako ya kidini kwa sababu wale walitoa hoja zao kwa kuangalia maslahi ya taifa na ule ulikuwa sio udini,ule unaitwa uzalendo.......ndio maana serikali wakaamua kuurekebisha ule mkataba,unajua ni kwanini?? Ni kwa sababu ya CHADEMA

Kama CHADEMA ingekuwa ni against Islam leo Tundu Lissu asingejitokeza hadharani na kuiunga mkono Palestine na kuikataa Israel

Adui wetu sisi Waislamu ni CCM;Waliingia na mbwa msikitini kwa amri ya mkapa 2000's,wameweka ndani masheikh wetu,wamepora ardhi yetu kwa miaka mingi na mbaya zaidi hawataki kuipa uhuru Zanzibar kwa kisingizio eti wakiachiwa watajiunga na OIC na Kibaya wanachofanya ni kwenye elimu juu ya vijana wetu

Siku nyingine usirudie kuitaja CHADEMA kwenye mambo ya kijinga kama haya ulio andika

said mohamed
Thanx mkuu umenenna vyema
 
Binafsi bwana Said, awali nilizipenda sana makala zako na kweli nilikuwa na hamu ya kutembea maktaba yako, lakini baada ya kuona umetawaliwa na chuki za kidini hakika yake nilivunjika moyo.

Ishumi alikuwa lecturer UDSM nadhani kitivo cha Elimu kama sikosehi, sidhani kama kuna haja ya kwenda kusoma paper yake kwa swali dogo tu nililokuuliza. Ushauri wangu kwako bwana Saidi, ukiondoa kasumba ya udini na ukaandika makala objectively bila kuonyesha elements za udini udini, utapata wasomaji wengi sana.
Mbussi,
Historia ya Waislam ilikuwa haipo imefutwa.

Labda nikuulize wewe kwanini ilikuwa hivyo na nani alifanya haya?

Kuandika historia hii si chuki.
Sina shida ya wasomaji.

Nasomwa na wengi.
Tabu sana kuipita makala yangu.

Ingia YouTube na kwengineko fanya search utanikuta.

Nimefanya mahojiano na vyombo vingi vya habari vya ndani na nje ya mipaka yetu.

Kinachowavutia hawa wote ni umakini katika ninayoeleza.

Kwani kipi kinachokufanya wewe ujadiliane na mimi?
 
Said, sikatahi mtizamo wako. Inaweza ikawa kweli kwamba wengi tunakusoma kwasababu tunataka kujua kiwango cha chuki za udini mlionao Waislam dhidi ya ukristo hasa Ukatoliki, lakini ushahuri wangu ulilenga uandike makala bila kuingiza ushabiki na chuki za kidini.

Hakuna mtu yoyote ambae alifuta au kupotosha historia ya Waislam na Uislam. Labda nikwambie palipo na shida. Sykes na Waislam wenzake kwa mfano, walianzisha vuguvugu la uhuru kama Watanganyika na siyo kama Waislam. Na Nyerere nae pamoja na waklisto wengine waliungana nao kama Watanganyika siyo kama Wakristo au Wakatoliki. Kilichowaunganisha baba zetu hawa ni dhamira yao ya kutafuta Uhuru wa Tanganyika siyo Imani ya dini zao. Kinachokuuma ni kule kusikia historia inayotambua mchango wa kanisa katoliki kama taasisi kusaidia harakati za Uhuru wa Tanganyika. Na kama Waislam wangefanya hivyo kama taasis nani hangeacha kutambua mchango wao?

Kwa hiyo bwana Said, Mara nyingi ukweli una tabia ya kujipigania wenyewe na hudumu muda mrefu.
 
useless enemy no one is even caring of your narratives, you are here Wrighting rubbish, it's either you stop this unfruitful animosity or you die unprecedented miserable death .

inglorious Bastard.
Matusi ya nini? Mjibu hoja zake ili uoneshe kuwa alichoandika hukubaliani nacho!
Matusi ni ishara ya kushindwa kujibu hoja na kama huna hoja muungwana kaa kimya.
 
Back
Top Bottom