Suala la China vs Taiwan, vita ya Urusi na Ukraine. Kusema ukweli kuna mataifa yametu-disappoint sana. A luta continua

Russia hakusema atakayeingilia kusaidia Ukraine atampasua? Russia hajui kama US anamsaidia kila leo Ukraine?
 
Sasa walienda Kiev kufanya nn, mbna aliwaambia wanajeshi wa Ukraine wampindue Zelensky
Kwann ule msafara ulienda Kiev, uko wapi sahivi
 
Mbna anamsaidia Direct Ukraine kwa kutuma silaha na Russia kaunyata mkia matakon, si alitangaza kwa mbwembwe ataemsaidia Ukraine atapigika, sasa mbna hajarusha kombora kwa meli za marekani zinazopeleka vifaa
 
U.S Army ipo Ukraine ?
 
Juzi raisi wao wa Zamani ambae ndio Mwenyekiti was Baraza la ulinzi alisema hata Ukrain ajibatilisha Nia ya kutojiunga NATO operation imo pale pale. Jamaa wanasubiri baridi ianze wawape vitu vizito
 
Kwani si anamsaidia silaha, apa alitangaza ataemsaidia atapewa kichapo, ukimuangalia sahivi kama sio yeye vile[emoji23][emoji23][emoji23]
angaliahttps://youtu.be/YaDZqsEZLKI
Una elewa nini Putin aliposema atakaye ingilia O.P yake hapo Ukraine atampiga pigo la kihistoria ?
 
Sasa walienda Kiev kufanya nn, mbna aliwaambia wanajeshi wa Ukraine wampindue Zelensky
Kwann ule msafara ulienda Kiev, uko wapi sahivi
Ndugu Zele tayari kaisha omba Po lakini warysi wamekataa wamemwambia it's too late now
 
Hii hoja imeniingia nimeipata vyeema kabsaa.
 
Haipo. Na USA aliweka wazi kuwa hataki vita vya moja kwa moja na urusi lakini anamsaidia silaha na teknolojia ya kivita. Inawezekana pia ana watu wake Ukraine na ndio sababu Urusi kupata upinzani.
Kama hayupo basi hicho ndicho kitu Putin alicho kuwa amekusudia kusema maneno yale.
 
Reactions: Tsh
Ha ha ha ha ha ha ha mkuu jamaa anaitwa nani huyo?
Yupo hivi naona kuna memba hapo anamjua jina lake vizuri kashamtag na I'm sure hawezi tia neno.. Jamaa ni mtamu kwa kumsoma akiwa anaelezea jambo ila ndiyo hivyo uchambuzi wake umekuwa mbali na uhalisia.
 
Ile Vita urusi hapigani na ukraine
 
Kuna mwingine anaitwa ELUNGATA huyu Naye alikuwa mbobezi sana akiisifu urusi katika masuala ya kivita, naona Naye kaishia mitini
 
Juzi raisi wao wa Zamani ambae ndio Mwenyekiti was Baraza la ulinzi alisema hata Ukrain ajibatilisha Nia ya kutojiunga NATO operation imo pale pale. Jamaa wanasubiri baridi ianze wawape vitu vizito
Sawa wacha tusubiri tuone.
 
Urusi kama sio mmrekan na uingereza asingeweza kuipiga ujeruman chief wote walikuwa wamechemka ni kama vile china kama sio marekan uingereza na urusi walichemka kabisa kumpiga mjapan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…