Suala la kuwakopesha hela wanawake linaharibu urafiki/ukaribu

Kwa niliowakopesha sijaona dalili za mtu kunitaka, wanahitaji tu kutatua changamoto zao ila kwenye kulipa sijui ndo hawataki kukulipa pesa anakusumbua ili labda ndo umwambie njoo nikule tumalizane
 
Kwa niliowakopesha sijaona dalili za mtu kunitaka, wanahitaji tu kutatua changamoto zao ila kwenye kulipa sijui ndo hawataki kukulipa pesa anakusumbua ili labda ndo umwambie njoo nikule tumalizane
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutotaka kulipa deni hio ndio dalili yenyewe ya kukutaka, au wewe unataka uonyeshwe dalili gani ili ujue kua mwanamke anakutaka?
Hapo anajua ukimkula ndio tayari ameshakupata na lengo lake la kukopa linakua tayari limefanikiwa.
 
Kongole kwako Mlokole
 
Mkuu sijaelewa, ananipima kwenye kutoa hela au pale nilipo mu approach?
Yote majibu ,ukitoa hela utakutana na usumbufu Tu wakukurudishia (Vuta picha kabla ya mahusiano yenu hela alikuwa anakopaga wapi?,Mtu hata hamjuani vzr unakopesha Tu labdah uwe tayari kupoteza

2.Ulivomuapproach kuna wengine hutumia vizinga kama mbinu yakukufuza,kama mbinu yakukuonesha humjali kwahio uamuzi ni wako kama Una hela za kuchezea mwaga kama huna pita hivi maana kama anakupenda utiii na heshima ni vitu vya kwanza
 
Ila huyu sio msimamo hana kwelii ndo maana alikuja kujibu usikuuu..!aliitafuta akakosa
Hamna mkuu pesa ipo ninayo, na nilikuwa na uwezo wa kumpa, ila ni mapema sana. Hatuna ukaribu kiivyo nawezaje kukuamini?.
 
Hamna mkuu pesa ipo ninayo, na nilikuwa na uwezo wa kumpa, ila ni mapema sana. Hatuna ukaribu kiivyo nawezaje kukuamini?.
Afu 20 au afu 10 huwa ni kipimo cha faster kuona kama unajiweza ilaa ukikosa hata afu 20 ya kupoteza ndugu yangu sasa laki ya kuhudumia utakuwa nayo.
 
Yani baad ya kumu apprch, aka reject, so nika mute ikapita siku kama nne hatuna mawasiliano, ndio jana kakanipigia simu, salam, ,nikakakuliza point?, alikuwa ana nisalimia, nika kata sijakaa vzud akanitumia hio sms, wakat huo niko site nafanya shughuli flan ,nikasoma nikacheka nikavubga tu.
 
Afu 20 au afu 10 huwa ni kipimo cha faster kuona kama unajiweza ilaa ukikosa hata afu 20 ya kupoteza ndugu yangu sasa laki ya kuhudumia utakuwa nayo.
Hahaha kwakweli nafanya calculations, sasa si ana mpenz wake kwanini asimuombe aje kwangu?😂
 
Mwanamke ili umfaidi mzidi hatua moja ,hii kanuni ukicheza nayo vituko kama hivi utaona vya kawaida ,maana uyo kashakugeuza kama pikipiki posta ukituma Tu Kapotea mpaka shida ziwaunganishe
 
yaan hii ndio koment ya mwisho nimesoma
umenikera sana yani toto limejileta ukaacha kulitafuna kiroho mbaya.
unachezea bahati
 
Mara ya kwanza na ya mwisho kumkopesha hela mwanamke ni takribani miaka 12 iliyopita wakati nasoma chuo, alinilipa hela yangu jioni ya siku ambayo mchana wake nilimfata hostel kwao nikampokonya smartphone yake na kuondoka nayo kama bond ya deni.
 
Uko Kama Mimi mtumishi wa Bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…