Pre GE2025 Suala la maslahi ya Tanganyika tunataka liwe addressed kampeni 2025!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tufanye ipo huko ufipa so?
Inamaana we mwandishi hujui faida za Muungano au???
Kuna ujinga nwingi sana kwenye huu muungano.

Inahitajika akili kisodatu kuelewa kasoro lukuki za muungano

Kamatunaamua kuungana tuungane jumla.
Kwanza wananchi wapandezote ukiwaangalia nikama ndugutu, sijui nini kinazuiya kuwa na muungano wenye tija.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Haya ya "chuki" ndio utetezi pekee mlio baki nao mnaofaidika na kilichopo sasa hivi.

Na usipotoshe: Mwalimu alipo zungumzia "kuvisogeza hivyo visiwa" hakuwa na maana mnayo ilenga nyinyi sasa hivi.
Sasa mmekula na kujisahau, hadi mnawatapikia kabisa hao hao wanao walisha. Kama huu siyo uhayawani, tuuite kitu gani?
 
Huu upuuzi wa kuja kulalamikia humu jukwaani ni upotezaji wa muda, zipo mada za maana zaidi zenye kustahili mijadala kwani zinagusa maisha yetu ya kila siku.
Ajenda zako unaziona muhimu, au siyo; ila hii siyo muhimu!
Usiumize roho yako bure; acha wanao iona hii kuwa muhimu waijadili; na kwa maoni yangu, hii ni moja ya ajenda muhimu kabisa tukielekea kwenye uchaguzi mkuu.

Naelewa kuna 'subtext' nyuma ya ajenda yenyewe, hata kama wewe siyo mtu wa upande huo wa visiwani.
 
ni ukosefu tu wa akili ya watu kama wewe kuamini kwamba bara hawaumizwi na muungano na kwamba kuuongelea ni chuki za kisiasa.

1. wazanzibari wanauongelea wapendavyo, sio chuki, ila mtanganyika akiongea mnasema chuki.
2. kama hatuumizwi, mbona mtanganyika hawezi kumiliki ardhi kule, na hawezi kuajiriwa serikali ya kule, wakati wao, 20% ya ajira zinatangazwa hapa bara (ambazo wangepata watanganyika) wanapata wao, na ardhi wanamiliki wapendavyo.

hapo tunaongelea kawilaya kenye watu hata 2m hawafiki, kudai asilimia 20 ya ajira ndani ya watu 60+m.
 
Ujinga kama upi?
 
Ukosefu wa akili ni kauli yenye kuweza kusemwa na yoyote anayejisikia.

Mwenye akili timamu hawezi kuacha ardhi kubwa huku bara akaenda kuhangaika na ardhi ya visiwa, vile ni visiwa sijui unaelewa maana ya visiwa!. Vyakula wanavitegemea kutoka huku bara kama Comoro hawana tofauti nao.

Inategemea pia umri wako upo vipi kwa sasa, wazanzibari tangu miaka hiyo ya 70 wanauongelea muungano, mimi na wewe tunapoteza kitu gani kwa wao kuuongelea?., kwanini mtu mwenye kujielewa ahangaike katika kutukuza mawazo ya kulipa visasi?.

Tupunguze hizi roho za chuki na visasi, sisi ni bora kuliko kuendekeza akili za aina hiyo.
 
Hata kama wana hoja ?
huenda ni za kitapeli ambazo zinachochewa na vibaka wa kisiasa.

ni utumwa na uzembe wa kiwango kibaya sana kurubuniwa fikra, uhuru na haki huria na kibaka wa siasa πŸ’
 
huenda ni za kitapeli ambazo zinachochewa na vibaka wa kisiasa.

ni utumwa na uzembe wa kiwango kibaya sana kurubuniwa fikra, uhuru na haki huria na kibaka wa siasa πŸ’
Kwahiyo huoni kwa kusema hivyo utakuwa unaingilia uhuru wa mtu wa kutoa hoja au kwa kusema ukichosema inasikitisha hii kuwa hoja ya msingi, kama unathamini uhuru wa hoja kwanini hoja kwani isijadiliwe ? Kwanini mtu ana hoja ya msingi ionekane katumwa na sio wazo lake ? Kwanini wewe unataka utakachokisema wewe ndio iwe last say ?...kwanini hoja isipingwe na hoja na kwanini mtu kaleta hoja badala ya kujadili hoja unamu attack yeye personally ?
 
utopian views and complains are useless and completely nonsense gentleman πŸ’
 
utopian views and complains are useless and completely nonsense gentleman πŸ’
I am not complaining, I don't like complaining, but I am telling you to stick with what has been said instead of attacking people personally, attacking people personally is not going to give us answers is it ? It not nonsense before you clarify it's nonsense...watu wanataka majibu hawataki sarakasi, ccm inawafundisha kuruka sarakasi kwenye maswali magumu badala ya kuyajibu and that is nonsense. Jibu Swali mkuu
 
it's wastage of time dealing with utopian thinking of political bandits gentleman πŸ’
 
it's wastage of time dealing with utopian thinking of political bandits gentleman πŸ’
Yan kwenye magroup yenu ya WhatsApp ndio mawazo yenu haya, aisee this country has a very long way to go, au wewe WASIRA MASTA ? MANAKE AISEE, SIELEWI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We mshamba kaa huko mama isara umevamia Jiji Kwa pΓΊpa
relax and calm down gentleman,

daima jiepushe na mihemko na makasiriko nonsense ikiwa umeishiwa point πŸ’
 
Yan kwenye magroup yenu ya WhatsApp ndio mawazo yenu haya, aisee this country has a very long way to go, au wewe WASIRA MASTA ? MANAKE AISEE, SIELEWI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
usikate tamaa gentleman,
but utajichosha bure tu with nonsense issues, kwasabb hayupo wa kupoteza muda kuskiza vitu visivyokuepo...

Yes,
Infact as a country,
we have long, but very bright way to go in the process of transforming this country into prosperous regardless of political bandits setbacks, but together we can πŸ’
 
Gentleman,
wananchi wa Tanzania hawana haja ya kubabaika na utapeli wa kisiasa, wala muda wa kutumia kuskiza vibaka wa kisiasa πŸ’
Jibu hoja,acha kupaniki.
Mali za Tanganyika haziwezi kuibwa na kutumika kujenga Zenji.
Tanganyika lazima itetewe na kupiganiwa,sio shamba la bibi
 
Hayo yote hata wakuu wa nchi waliopita wanafahamu hili jambo.
Huyu wa sasa ni wazi kabisa anatumia mamlaka yake kunufaisha na kunufaisha Zanzibar na Watu wake.
Natamani Sana mabadiliko hata kuyashiriki Ila kwa namna gani??? Upinzani ndo hawaelewei.
Wananchi tunataka Imani ya kweli katika utendaji na sio hadithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…