Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Kumekuwepo na analysis nyingi sana mitandaoni kukosoa au kupinga maamuzi mbalimbali ya Rais kwa hoja kwamba yapo kinyume na katiba.

Naamini mnaoleta hizi analysis ni wanasheria,kwa nini msiwe mnaenda mahakamani basi kuweka mambo sawa maana huku hakuna solution ni hisia tu watu wanachangia?
 
Nimejibu nilichokujibu kwa sababu umesema hilo neno SHALL tunalitafsiri vibaya... na mimi ndo nimekuambia neno SHALL limetafsiriwa na sheria zetu wenyewe! Kwahiyo kama kutafsiri vibaya, basi ni sheria zetu ndizo zimetafsiri vibaya na sio "..sisi"

Aidha, umesema:-
Hapo ingekuwa sio lazima, kwa mujibu wa sheria zetu wangeandika "may be be eligible for renewal" na sio "shall be eligible for renewal"

Msingi haupo kwenye neno ELIGIBLE bali kwenye neno SHALL. Lau kama wangeandika "may be eligible" hapo ingekuwa sio shuruti!!
Hiyo shall inaongelea term limits.

Magufuli kavunja katiba. Kuna vipengele vingine vinasema kwamba kumtoa CAG hata baada ya contract ya miaka mitano kuisha, inabidi kuwe na impeachment tribunal.

Hiyo shall inaongelea term limits, kwamba CAG hatakiwi kuongezewa muda zaidi ya mara moja.

That says nothing about kuongezewa muda mara ya kwanza.

Magufuli kavunja katiba kwa sababu kamuondoa CAG bila kufuata impeachment tribunal. Profesa Shivji ka tweet kuhusu hili pia.

Hiyo habari ya "shall be eligible for renewal" inaongelea term limits, ni habari tofauti kabisa.
 
Swala linalosumbua hapa ni kuwa The Appointing Authority inakuwa na "Vested Interest" ktk jukumu lake la uteuzi ikizingatiwa pia kwamba teuzi zenyewe zinawezeshwa na Presidential Constitution ambayo haitoi nafasi kwa Vetting of the potential appointees.

Kadri tutakavyoendelea kuwa na hii katiba ya hovyo that contains the controversial provisions and double standards bado tutaendelea kushuhudia utata kama huu.

Huyu CAG anayeondoka tunasikia aliwekewa Quarantine asikague baadhi ya taasisi kama Ikulu, Atcl, Tanroads na Revenue ya serikali inayotokana na Migodi ya dhahabu kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, hivyo kuondolewa kwake hata kama inapata benefit ya utata uliopo ktk vipengere vya katiba lkn sio kwa maslahi ya taifa ila ni ubabe tu wa kuogopa kuumbuka kutokana na series of audit queries that might be revealed and that might not have reasonable answers. That's all.
 
Acha ujinga, asubuhi hii chukua hata simu mpigie mama/baba yako uwaambie unawapenda na uwatakie siku njema utabarikiwa zaidi, kwa maana siajabu hata mtoto wake haumizwi na kumpigania hivyo huyo Asadi kama wewe, labda hata washakubali matokeo na kumove on wewe mwenzangu na mimi bado unakosa usingizi, so sad!
Hebu pata elimu kidogo hiyo Kisha waelimishe na wenzako juu ya alichofanya huyo mkulu wenu kuwa ni kinyume na katiba aliyoapa kuitetea na kuilinda!
Pia mshaurini amtimue kazi hiyo timu yake ya wanasheria inayompotosha juu ya masuala ya kisheria kwani hawaharibikiwi wao Bali yeye! Na wewe jifunze kupitia kwa wanaojua acha kuitetea uvunjaji wa Sheria uheshimike!
 
Kumekuwepo na analysis nyingi sana mitandaoni kukosoa au kupinga maamuzi mbalimbali ya Rais kwa hoja kwamba yapo kinyume na katiba.

Naamini mnaoleta hizi analysis ni wanasheria,kwa nini msiwe mnaenda mahakamani basi kuweka mambo sawa maana huku hakuna solution ni hisia tu watu wanachangia?
Sijui unaandika ukiwa US, Denmark au Norway. Mahakama gani waende. Are you serious, do you know what you've written.
 
Nimejibu nilichokujibu kwa sababu umesema hilo neno SHALL tunalitafsiri vibaya... na mimi ndo nimekuambia neno SHALL limetafsiriwa na sheria zetu wenyewe! Kwahiyo kama kutafsiri vibaya, basi ni sheria zetu ndizo zimetafsiri vibaya na sio "..sisi"

Aidha, umesema:-
Hapo ingekuwa sio lazima, kwa mujibu wa sheria zetu wangeandika "may be be eligible for renewal" na sio "shall be eligible for renewal"

Msingi haupo kwenye neno ELIGIBLE bali kwenye neno SHALL. Lau kama wangeandika "may be eligible" hapo ingekuwa sio shuruti!!
Mkuu usijichoshe huyo kiranga hajui sheria za Tanzania daah ila kwa kweli inasikitisha huyu mtu anavunja katiba hivi hivi
 
Alivyokatazwa kukagua ATCL tu, nikajua hapa lazima figisu lianze.

Mfalme kashasema hapangiwi.
Assad angepata fursa ya kufika huko ATCL mda huu kungekuwa na Aibu ya Taifa wamemtoa haraka wapate kupumua
 
Mtazunguuka, mtalalamika, mtasononeka na kulaumu sana; lakini bado ukweli unabaki palepale kwamba katiba imeruhusu jambo lifanyike au lisifanyike. Mfano kwa nini katiba isiseme CAG akiteuliwa abaki madarakani kwa vipindi vya miaka kumi hata kama umri wake ni miaka 90?

Kwa nini kuwe na lugha za kuzunguka zunguka? Shall, elidible nk?
Kwa maoni yangu naona JPM yupo sahihi kuteua yeyote anayemtaka kwa sababu katiba haijamzuia.
Tena ingekuwa mimi ndio simple ningemteua Jessica kuwa siejii.
 
Kumekuwepo na analysis nyingi sana mitandaoni kukosoa au kupinga maamuzi mbalimbali ya Rais kwa hoja kwamba yapo kinyume na katiba.

Naamini mnaoleta hizi analysis ni wanasheria,kwa nini msiwe mnaenda mahakamani basi kuweka mambo sawa maana huku hakuna solution ni hisia tu watu wanachangia?
Mahakama ya wapi mkuu? Kama ni mahakama za Tanzania zote zipo chini ya Amri toka juu usitegemee haki kwa hilo
 
Hii katuma Prof. Assad mwenyewe au watu wamemuunganishia?

Tuhuma za "mazingira ya kazi" ni nzito sana.

Kama kaandika yeye inatakiwa ashurutishwe kueleza ana maana gani.
"Ashurutishwe".... Mkiambiwa hatuna utawala wa sheria ni udikteta tu mnakunja uso. Ona sasa watu walivyolewa madaraka. Very foolish indeed.
 
"Ashurutishwe".... Mkiambiwa hatuna utawala wa sheria ni udikteta tu mnakunja uso. Ona sasa watu walivyolewa madaraka. Very foolish indeed.
Utawala wa sasa unaendesha Nchi kwa utashi wao binafsi siyo kwa mjibu wa katiba na sheria
 
Assad angepata fursa ya kufika huko ATCL mda huu kungekuwa na Aibu ya Taifa wamemtoa haraka wapate kupumua
ATCL umefanyika uhuni mkubwa sana.

Watu wamekataza CAG asikague vitabu, halafu wakatangaza faida ya dola milini 14!

Sasa kwa msimamo wa Assad uchafu kama huu kuficha mwaka baada ya mwaka ingekuwa tabu.

Assad inatakiwa apewe kazi nje ya Tanzania, halafu afunguke kimetokea nini mpaka katolewa.
 
Back
Top Bottom