(2) The Controller and Auditor-General may be removed from office onlyHajavunja Ibara ya 144 (3), bali katafsiri sahihi sction 6 (1) of the Public Audit Act
Mkuu ukienda huko utawachanganya kabisaIbara hii hamlazimishi Rais kuunda tume soma kwa makini.... inasema If the President considers....!!
Siyo ina refer. Inalazimisha kwamba CAG asiondolewe bila kufuatisha impeachment tribunal.Mkuu hiyo subarticle bado ina refer kama.tume imeundwa kwa mujibu wa subarticle 3..
Sasa hiyo subarticle 3 inamlazimisha Rais kuunda Tume? Soma vizuri kwa makini utaelewa!Siyo ina refer. Inalazimisha kwamba CAG asiondolewe bila kufuatisha impeachment tribunal.
Mtafute yule mteuleIla pamoja na ukali wake jamaa wakapora 2.4T, sasa akistaafu na kuwekwa waliyempanga huyu MtuPori atapiga ngapi? Hatari sana!
6. Tenure of office(2) The Controller and Auditor-General may be removed from office only
for inability to perform the functions of his office (either due to illness or to any
other reason) or for misbehaviour, or for violating the provisions of the law
concerning the ethics of public leaders and shall not be so removed except in
accordance with the provisions of subarticle (4) of this Article.
Let's talk with legal reference, please... that's how legal discussions work! Again, according to our Interpretation of Laws Act:Do you know what fundamentally means?
Siyo ina refer. Inalazimisha kwamba CAG asiondolewe bila kufuatisha impeachment tribunal.
Haimlazimishi bali inasema pale rais anapoona inafaaSiyo ina refer. Inalazimisha kwamba CAG asiondolewe bila kufuatisha impeachment tribunal.
Soma post namba 464 nimeweka full text mwanzo mpaka mwisho wa ibara ya 144.
Mkuu hawasomi kwa makini. Pia wanachanganya mambo huyo CAG hajaondolewa kwa mujibu wa Katiba ila kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi 2008 kifungu cha 6 inayohusiana na term limit ambayo iko wazi tu.Mkuu ukienda huko utawachanganya kabisa
Tafuteni wanasheria wawashauri ili wale pesa zenu!Brother hawa wanaokubishia wanajua wanachokifanya, tactic yao ni kusow confusion as much as they can ili public isiwe na consensus katika hili suala kwamba Magufuli kavunja sheria kwenye uteuzi huu wa CAG.
Watajaribu kupindua pindua maneno, kutwist vifungu ili huu mjadala usiwe na conclusion, in this way they whitewash kitendo cha uvunjifu wa sheria alichokifanya Magufuli.
Read them very well!
Pia hawaelewi applicability ya Ibara ya 144.Mkuu hawasomi kwa makini. Pia wanachanganya mambo huyo CAG hajaondolewa kwa mujibu wa Katiba ila kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi 2008 kifungu cha 6 inayohusiana na term limit ambayo iko wazi tu.
Mkuu hawasomi kwa makini. Pia wanachanganya mambo huyo CAG hajaondolewa kwa mujibu wa Katiba ila kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi 2008 kifungu cha 6 inayohusiana na term limit ambayo iko wazi tu.
Hahahaaa........ Jf bhana hadi raha.Let's talk with legal reference, please... that's how legal discussions work! Again, according to our Interpretation of Laws Act:
-View attachment 1254142
You might be very competent in English, with a tonne of "vocabularies" in your head, but that has nothing to do with this discussion... gimme your reference!
(2) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tuHaimlazimishi bali inasema pale rais anapoona inafaa
Matumizi ya neno kama katika Ibara ya 3 yanafanya uchunguzi kuwa ni UTASHI na sio LAZIMA.(2) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tu
kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya
kushindwa kutekeleza kazi zake (ama kutokana na maradhi au
sababu nyingine yoyote) au kwa sababu ya tabia mbaya, au
kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa
Umma na hataweza kuondolewa kazini ila kwa mujibu wa
masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara hii.
Hii Ibara ya 144 - 2 ipo clear kabisa. Inataka CAG anapoondolewa kwa sababu tajwa hapo juu basi masharti ya Ibara ndogo ya 4 yafuatwe. Masharti hayo ni yapi :
(4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara
ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa
kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote
au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini.
Kwa hiyo Ibara ya 2 inalazimisha kuundwa kwa tume. Na imesisitiza CAG HATOWEZA kuondolewa pasi na 4 kutimizwa.
Je kama Rais hakuunda tume kama alivyofanya kwa Assad yupo sahihi?
Ibara ya 3: Inasema kama Rais anahitaji KUCHUNGUZA jambo la kumuondoa kazini CAG ataunda tume. Kumbe basi Rais atakapoona CAG amekiuka Ibara ya 2 analazimika kufanya Ibara ya 3 ili Ibara ya 4 itimie.
Kumbe basi Katiba inamtaka Rais achunguze shtaka la kumuondoa CAG ofisini. Na atachunguza kwa kuunda tume.
6. Tenure of office
(1) The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only.
(2) Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office-
(a) upon attaining the age of sixty five years;
(b) if the Controller and Auditor-General resigns- (i) on account of medical grounds or any other grounds which the President considers sufficient; or (ii) by giving six months’ notice to the President.
7. Removal from office
The Controller and Auditor General may be removed from his office for reasons and procedures provided for under Article 144 of the Constitution.
Kiranga yupo sahihi! lakini wewe haupo sahihi sana kwamba "katiba ipo silent kwa tenure"!Haha mkuu unachanganya mambo hapa, kuna tofauti kati ya tenure of office na removal from office.
Katiba ipo silent kwa tenure of office.
Kwa kutumia mamlaka hayo, ndipo Bunge kupitia Public Audit Act 2008 Ibara ya 6(2)(a) ikasema:-Without prejudice to the other provisions of this Article, the Controller and Auditor-General of the United Republic shall be obliged to vacate office upon attaining the age of sixty or any other age which shall be prescribed by a law enacted by Parliament.
Kwamba, CAG ataachia ofisi atakapofikisha umri wa miaka 65 unless kama atatakiwa KUONDOLEWA kwa mujibu wa Katiba Ibara ya 144 (3).Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office upon attaining the age of sixty five years;
Kwanza, hapo ndipo mtakapoona msingi wa matumizi ya neno SHALL na MAY.The Controller and Auditor-General may be removed from office only for inability to perform the functions of his office (either due to illness or to any other reason) or for misbehaviour, or for violating the provisions of the law concerning the ethics of public leaders and shall not be so removed except in accordance with the provisions of subarticle (4) of this Article.
Kumbe pamoja na Rais kuona CAG anastahili kuondolewa ama kwa kutokana na ugonjwa, au kuna miiko ameivunja, bado hawezi kumuondoa hadi Tume aliyoiunda inamshauri kufanya hivyo, na hapo Rais atamuondoa CAG?If the Special Tribunal appointed in accordance with the provisions of subarticle (3) advises the President that the Controller and Auditor-General be removed from office on grounds of inability to perform functions of his office due to illness or any other reason or on grounds of misbehaviour, then the President shall remove him from office.
Muda wake wa miaka mitano umekwisha.Kuna namna hizi za CAG kuondoka kwenye cheo hicho, katiba inaainisha.
Kwa vifungu ulivyovileta wewe mwenyewe, nimevinukuu hapo juu.
1. Kwa uchunguzi wa impeachment truibunal kama inavyosema article 144 (3)
2. Akifika umri wa miaka 65.
3. Akijiuzulu -i) kwa sababu za afya au nyingine zozote ambazo rais atazikubali au -ii) Kwa kumpa rais notisi ya miezi sita.
Hizi ndizo namna pekee zilizoainishwa kikatiba.
Sasa Assad.
1. Hajaundiwa impeachment tribunal
2. Hajafikisha umri wa miaka 65
3. Hajajiuzulu
Rais katumia kifungu gani cha katiba kumuondoa?