Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Hajavunja Ibara ya 144 (3), bali katafsiri sahihi sction 6 (1) of the Public Audit Act
(2) The Controller and Auditor-General may be removed from office only
for inability to perform the functions of his office (either due to illness or to any
other reason) or for misbehaviour, or for violating the provisions of the law
concerning the ethics of public leaders and shall not be so removed except in
accordance with the provisions of subarticle (4) of this Article.
 
Mkuu hiyo subarticle bado ina refer kama.tume imeundwa kwa mujibu wa subarticle 3..
Siyo ina refer. Inalazimisha kwamba CAG asiondolewe bila kufuatisha impeachment tribunal.

Soma post namba 464 nimeweka full text mwanzo mpaka mwisho wa ibara ya 144.
 
(2) The Controller and Auditor-General may be removed from office only
for inability to perform the functions of his office (either due to illness or to any
other reason) or for misbehaviour, or for violating the provisions of the law
concerning the ethics of public leaders and shall not be so removed except in
accordance with the provisions of subarticle (4) of this Article.
6. Tenure of office
(1) The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only.
(2) Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office-
(a) upon attaining the age of sixty five years;
(b) if the Controller and Auditor-General resigns- (i) on account of medical grounds or any other grounds which the President considers sufficient; or (ii) by giving six months’ notice to the President.

7. Removal from office
The Controller and Auditor General may be removed from his office for reasons and procedures provided for under Article 144 of the Constitution.
 
Do you know what fundamentally means?
Let's talk with legal reference, please... that's how legal discussions work! Again, according to our Interpretation of Laws Act:
-
SHALL2.png

You might be very competent in English, with a tonne of "vocabularies" in your head, but that has nothing to do with this discussion... gimme your reference!
 
Siyo ina refer. Inalazimisha kwamba CAG asiondolewe bila kufuatisha impeachment tribunal.

Brother hawa wanaokubishia wanajua wanachokifanya, tactic yao ni kusow confusion as much as they can ili public isiwe na consensus katika hili suala kwamba Magufuli kavunja sheria kwenye uteuzi huu wa CAG.

Watajaribu kupindua pindua maneno, kutwist vifungu ili huu mjadala usiwe na conclusion, in this way they whitewash kitendo cha uvunjifu wa sheria alichokifanya Magufuli.

Read them very well!
 
Siyo ina refer. Inalazimisha kwamba CAG asiondolewe bila kufuatisha impeachment tribunal.

Soma post namba 464 nimeweka full text mwanzo mpaka mwisho wa ibara ya 144.
Haimlazimishi bali inasema pale rais anapoona inafaa
 
Mkuu ukienda huko utawachanganya kabisa
Mkuu hawasomi kwa makini. Pia wanachanganya mambo huyo CAG hajaondolewa kwa mujibu wa Katiba ila kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi 2008 kifungu cha 6 inayohusiana na term limit ambayo iko wazi tu.
 
Brother hawa wanaokubishia wanajua wanachokifanya, tactic yao ni kusow confusion as much as they can ili public isiwe na consensus katika hili suala kwamba Magufuli kavunja sheria kwenye uteuzi huu wa CAG.

Watajaribu kupindua pindua maneno, kutwist vifungu ili huu mjadala usiwe na conclusion, in this way they whitewash kitendo cha uvunjifu wa sheria alichokifanya Magufuli.

Read them very well!
Tafuteni wanasheria wawashauri ili wale pesa zenu!
 
Mkuu hawasomi kwa makini. Pia wanachanganya mambo huyo CAG hajaondolewa kwa mujibu wa Katiba ila kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi 2008 kifungu cha 6 inayohusiana na term limit ambayo iko wazi tu.
Pia hawaelewi applicability ya Ibara ya 144.
 
Let's talk with legal reference, please... that's how legal discussions work! Again, according to our Interpretation of Laws Act:
-View attachment 1254142

You might be very competent in English, with a tonne of "vocabularies" in your head, but that has nothing to do with this discussion... gimme your reference!
Hahahaaa........ Jf bhana hadi raha.

Ngabu anaamini kujua kizungu ndio kujua sheria......bure kabisa!
 
Haimlazimishi bali inasema pale rais anapoona inafaa
(2) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tu
kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya
kushindwa kutekeleza kazi zake (ama kutokana na maradhi au
sababu nyingine yoyote) au kwa sababu ya tabia mbaya, au
kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa
Umma na hataweza kuondolewa kazini ila kwa mujibu wa
masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara hii.

Hii Ibara ya 144 - 2 ipo clear kabisa. Inataka CAG anapoondolewa kwa sababu tajwa hapo juu basi masharti ya Ibara ndogo ya 4 yafuatwe. Masharti hayo ni yapi :

(4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara
ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa
kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote
au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini.

Kwa hiyo Ibara ya 2 inalazimisha kuundwa kwa tume. Na imesisitiza CAG HATOWEZA kuondolewa pasi na 4 kutimizwa.

Je kama Rais hakuunda tume kama alivyofanya kwa Assad yupo sahihi?

Ibara ya 3: Inasema kama Rais anahitaji KUCHUNGUZA jambo la kumuondoa kazini CAG ataunda tume. Kumbe basi Rais atakapoona CAG amekiuka Ibara ya 2 analazimika kufanya Ibara ya 3 ili Ibara ya 4 itimie.

Kumbe basi Katiba inamtaka Rais achunguze shtaka la kumuondoa CAG ofisini. Na atachunguza kwa kuunda tume.
 
Matumizi ya neno kama katika Ibara ya 3 yanafanya uchunguzi kuwa ni UTASHI na sio LAZIMA.
 
6. Tenure of office
(1) The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only.
(2) Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office-
(a) upon attaining the age of sixty five years;
(b) if the Controller and Auditor-General resigns- (i) on account of medical grounds or any other grounds which the President considers sufficient; or (ii) by giving six months’ notice to the President.

7. Removal from office
The Controller and Auditor General may be removed from his office for reasons and procedures provided for under Article 144 of the Constitution.

Kuna namna hizi za CAG kuondoka kwenye cheo hicho, katiba inaainisha.

Kwa vifungu ulivyovileta wewe mwenyewe, nimevinukuu hapo juu.

1. Kwa uchunguzi wa impeachment tribunal kama inavyosema article 144 (3)
2. Akifika umri wa miaka 65.
3. Akijiuzulu -i) kwa sababu za afya au nyingine zozote ambazo rais atazikubali au -ii) Kwa kumpa rais notisi ya miezi sita.

Hizi ndizo namna pekee zilizoainishwa kikatiba.

Sasa Assad.

1. Hajaundiwa impeachment tribunal
2. Hajafikisha umri wa miaka 65
3. Hajajiuzulu

Rais katumia kifungu gani cha katiba kumuondoa?
 
Haha mkuu unachanganya mambo hapa, kuna tofauti kati ya tenure of office na removal from office.

Katiba ipo silent kwa tenure of office.
Kiranga yupo sahihi! lakini wewe haupo sahihi sana kwamba "katiba ipo silent kwa tenure"!

Katiba yetu ina Ibara Kadhaa ambazo zinatungiwa Sheria na Bunge! Kwa mfano, kwa hili la CAG, utaona katiba imetoa tenure to the office ni miaka 60 lakini ikatoa mandate kwa Bunge kufanya vinginevyo:- 144(1)
Without prejudice to the other provisions of this Article, the Controller and Auditor-General of the United Republic shall be obliged to vacate office upon attaining the age of sixty or any other age which shall be prescribed by a law enacted by Parliament.
Kwa kutumia mamlaka hayo, ndipo Bunge kupitia Public Audit Act 2008 Ibara ya 6(2)(a) ikasema:-
Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office upon attaining the age of sixty five years;
Kwamba, CAG ataachia ofisi atakapofikisha umri wa miaka 65 unless kama atatakiwa KUONDOLEWA kwa mujibu wa Katiba Ibara ya 144 (3).

Imetumika reference ya 144(3) kwa sababu Ibara ya 144(2) inasema:-
The Controller and Auditor-General may be removed from office only for inability to perform the functions of his office (either due to illness or to any other reason) or for misbehaviour, or for violating the provisions of the law concerning the ethics of public leaders and shall not be so removed except in accordance with the provisions of subarticle (4) of this Article.
Kwanza, hapo ndipo mtakapoona msingi wa matumizi ya neno SHALL na MAY.

Hapo katiba inatoa UWEZEKANO wa CAG kuondolewa ikiwa limetokea moja au combination ya hayo yaliyotajwa!!

The question is: Kwavile Rais anaona CAG ni mgonjwa au ame-violate sheria fulani, je anaweza kumfuta kazi hapo hapo?!

Jibu ni HAPANA, kwa sababu "...shall not be so removed except in accordance with the provisions of subarticle (4) of this Article" inayosema:-
If the Special Tribunal appointed in accordance with the provisions of subarticle (3) advises the President that the Controller and Auditor-General be removed from office on grounds of inability to perform functions of his office due to illness or any other reason or on grounds of misbehaviour, then the President shall remove him from office.
Kumbe pamoja na Rais kuona CAG anastahili kuondolewa ama kwa kutokana na ugonjwa, au kuna miiko ameivunja, bado hawezi kumuondoa hadi Tume aliyoiunda inamshauri kufanya hivyo, na hapo Rais atamuondoa CAG?

Sasa hiyo Special Tribunal ni ipi? Jibu ni hiyo iliyotajwa kama subarticle 3 inayosema:- if the President considers that the question of the removal of the Controller and Auditor-General from office under the provisions of this Article needs to be investigated, then the procedure shall be as follows:
(a) the President shall appoint a Special Tribunal which shall consist of a Chairman and not less than two other members. The Chairman and at least half of the other members of that Special Tribunal shall be persons who are or have been Judges of the High Court or of the Court of Appeal in any country within the Commonwealth.

That being said, Rais HAWEZI kumuondoa CAG bila kuunda hiyo tume! Hata hivyo, kama nilivyopata kusema hapo awali kwamba Rais anaweza KUMLAZIMISHA CAG kujiuzuru!

Lakini kwavile KULAZIMIHA haipo kwa mujibu wa katiba au sheria, CAG anaweza kugoma kuachia ngazi, na hapo Rais kama anaona uamuzi wake ulikuwa sahihi, anaweza kurudi kwenye katiba kuangalia anamuondoa ondoa vipi... JIBU NDO HILO HAPO JUU ambalo hamlipendi!!
 
Anaandika Milton Mahanga
Napenda kujitokeza hasa pale nikiona Katiba ya nchi inakiukwa ama na mtu ama na Sheria yoyote...
Hili ya CAG Prof. Assad kutumbuliwa...
Ukweli ni kwamba Sheria ya Public Audit Act ya 2008 imekiuka Katiba kwenye kipengele cha ajira ya CAG. Katika Katiba ya nchi ni kwenye kipengele cha umri wa CAG kustaafu tu ndio Katiba iliacha mwanya kwa Bunge kutunga sheria ya kubadilisha umri wa CAG kustaafu (Ibara ya 144 (1). Otherwise Katiba haitoi nafasi kwa Bunge kutunga Sheria au kipengele cha Sheria cha kubadilisha masharti mengine ya ajira ya CAG.
Hivyo kwa mujibu wa Ibara hiyo 144 (1) ya Katiba, ilikuwa sahihi kwa Bunge kurekebisha sheria ya Ofisi ya CAG ili umri wa kustaafu wa CAG uwe miaka 65 kutoka ile 60 iliyoko kwenye Katiba. Lakini haikuwa sahihi kwa Bunge kuweka masharti mengine kwenye sheria kama ya ajira ya mkataba wa miaka 5 kwa CAG na kwamba ni eligible tu kuongezewa miaka mingine mitano (at the pleasure ya mteule). Hapa Sheria imekwenda kinyume na Katiba, and therefore is unconstitutional. Kipengele cha Sheria hii kinachoweka ukomo wa miaka 5 wa mkataba wa CAG inatakiwa ipingwe Mahakamani kwa kwenda kinyume na Katiba ya nchi.
Katiba inataka CAG akae madarakani hadi afikishe miaka 65, labda kama anaondolewa kwa mujibu wa Ibara ya 144 (2) na kwa utaratibu wa Ibara ya 144 (3), na si vinginevyo ..
Halafu sheria yenyewe inaongeza tu mkanganyiko. Section 6 (1) inazungumzia tenure ya 5 years and possible renewal of another 5 years only, lakini section 6 (2) inakubaliana na Katiba kwamba CAG atakaa madarakani hadi afikishe miaka 65, unless amekosa sifa kwa mujibu wa Ibara ya 144 (2) ya Katiba.... BUNGE, FUTA VIPENGELE VIBOVU VYA SHERIA HII
 
Kuna namna hizi za CAG kuondoka kwenye cheo hicho, katiba inaainisha.

Kwa vifungu ulivyovileta wewe mwenyewe, nimevinukuu hapo juu.

1. Kwa uchunguzi wa impeachment truibunal kama inavyosema article 144 (3)
2. Akifika umri wa miaka 65.
3. Akijiuzulu -i) kwa sababu za afya au nyingine zozote ambazo rais atazikubali au -ii) Kwa kumpa rais notisi ya miezi sita.

Hizi ndizo namna pekee zilizoainishwa kikatiba.

Sasa Assad.

1. Hajaundiwa impeachment tribunal
2. Hajafikisha umri wa miaka 65
3. Hajajiuzulu

Rais katumia kifungu gani cha katiba kumuondoa?
Muda wake wa miaka mitano umekwisha.

Muda ukiisha matumizi ya Ibara ya 144 yanakosa nguvu.
 
Back
Top Bottom