Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Absolutely true

Huko tuendako kunatisha!
 
Ben Saanane aliongelea sana PhD ya huyu jamaa. Kama yeye anaweza kupata PhD, nani atashindwa??
Yani mtu pamoja na kutumikia nafasi za kisiasa kwa miaka 30 lakini bado hajui ukubwa wa KATIBA.

AIBU KUBWA SANA HII....USHAMBA ni ugonjwa mbaya sana.
 
Yaani Jiwe "hobby" yake kubwa ni KUTEUA na KUTENGUA

Ndiyo maana hatushangai kwa Rais huyo huyo aliyemtumbua huyo Kicheere, miezi michache tu iliyopita kwa kumkashifu kuwa hajui kazi, ndiye huyo huyo leo hii amekuja na kumpa sifa kemkem, huyo CAG mpya!

Hivi sisi wananchi tukisema kuwa Rais wetu hayupo makini kwa kazi yake tutakuwa tumekosea kweli??
 
Kama yeye Rais anatamba kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa serikali yake inapiga vita ufisadi, ni kwanini basi "amchukie" CAG anayeonyesha kwenye ripoti zake mahali kulikofanyika ufisadii wa kutisha nchini??
Kwa sababu CAG akionyesha kuna ufisadi basi yeye anaonekana hajadhibiti ufisadi kama wengi wanavyodhania. Yeye angependa CAG aseme hakuna ufisadi kabisa na mashirika yote ya UMMA yanajiendesha kwa faida
 
Kama yeye Rais anatamba kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa serikali yake inapiga vita ufisadi, ni kwanini basi "amchukie" CAG anayeonyesha kwenye ripoti zake mahali kulikofanyika ufisadii wa kutisha nchini??
Kwa sababu anayepiga hela sasa hivi kabaki yeye tu, miradi mingi nchini inafanywa na kampuni zilizopo chini yake kwa jina la ndugu, au nyingine zinazoshirikiana na kampuni zake, kama sio hivyo tenda hupewi. Jamaa atamaliza miaka 10 kawa billionaire kabisa, in USD sio hata TZS
 
Upinzani wa Tanzania ni hopeless huwa hauna agenda zao original ambazo.huwa wanazisimamia.Kazi yao huwa tu kudandia matukio yanayojitokeza na kuyavalia njuga.

Swala la CAG limeisha CAG mpya kaapishwa haya upinzani mtadandia lipi tena maana nyie huwa hamna agenda zenu original.
 
Kwa hali hii inavyoendelea, ni kweli tutakuwa tunakamuliwa hiyo kodi, kumbe kodi yetu inaingia kwenye mifuko binafsi ya Jiwe!
 
YEHODAYA,
Mkuu, wapinzani sio viongozi wa Upinzani, ni Watanzania wengi sana, Viongozi wa Upinzani wabadilike.
 
Tusimlaumu Rais Magufuli kwa lolote, yote anayoyafanya ni kwa mujibu wa katiba
He has all the powers to hire and fire as he pleases

P.
 
Hizo original za CCM ni zipi?
Maana mmebaki kumsikiliza tu Mshamba wenu anavyoamua kwa kukurupuka!
 
Hebu weka hicho kifungu cha sheria kinachosema atatumikia kwa kipindi cha miaka 5, na baada ya miaka hiyo, ATACHAGULIWA CAG MWINGINE!
 
Tunachouliza Mkuu Pascal, je kumtumbua Profesa Assad, hajavunja Katiba ya nchi, ibara ya 144??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…